Kitaja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 2,836
- 1,382
Pale shetani anapojifanya malaika wa nuru!Huyo jamaa anajiita Mcharo ni Muislam...Naona umepata kampani..
Wasabato na Waislam kuufifisha Ukristo ni kazi kubwa mno..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale shetani anapojifanya malaika wa nuru!Huyo jamaa anajiita Mcharo ni Muislam...Naona umepata kampani..
Wasabato na Waislam kuufifisha Ukristo ni kazi kubwa mno..
Umekombolewa Hakika wakatoliki wengi hawasomi Biblia hawawezi jua nini hasa Mungu anatutaka tutende!Sometimes hata papa naona hana lolote kwenye imani yangu mm Bible ndio mwisho wa kila kitu papa uongozi wake misho Vatican sio kwangu
Ukitaka kuwakimbiza wakatoliki kwenye jukwaa hili waambie wasome Biblia, mtagombana hadi kesho. Ila waambie kubusu sanamu, kusali rozari na sanamu ya bikra maria hapo utakuwa rafiki.Shikamoo kaka! Ubarikiwe muhimu katika maisha ni kujua Neno linakutaka ufanye nini sio mapokeo ya madhehebu!
Tatizo la wakatoliki wengi wameshika sana mapokeo halafu kusoma Biblia hawasomi ukitaka kuamini angalia wakatoliki wangapi wanaenda na Biblia kanisani wachache hadi unajiuliza wanaenda kufanya nini ?
Tusome Biblia mana ndiye Mungu mwenyewe.
Kwa taarifa yako Biblia ni Mapokeo pia..Tatizo la wakatoliki wengi wameshika sana mapokeo halafu kusoma Biblia hawasomi ukitaka kuamini angalia wakatoliki
Wakatoliki gani labda unaowaongelea...?Ukitaka kuwakimbiza wakatoliki kwenye jukwaa hili waambie wasome Biblia, mtagombana hadi kesho. Ila waambie kubusu sanamu, kusali rozari na sanamu ya bikra maria hapo utakuwa rafiki.
Ona wanavyojionyesha wazi kuwa hawa na mawakala wa shetaniKwa taarifa yako Biblia ni Mapokeo pia..
Yes ofcourse...."The Clear Word Bible" nayo ni Biblia pia..ila ni ya kikundi cha WasabatoMimi kitabu changu ni Biblia na Biblia pekee
Kweli gani...? Kwa mujibu wa nani...??Umekombolewa Hakika wakatoliki wengi hawasomi Biblia hawawezi jua nini hasa Mungu anatutaka tutende!
Kweli itakuweka huru
Wimbo hauna mwitikiaji huo badilisha tune. Ibada ya sanamu India taxes labda shetani ndo anaikubali upo hapo?Wakatoliki gani labda unaowaongelea...?
Unataka kuwa Mkristo...Naona unaranda randa tuuu...
Mimi nipo
Pole sana...msome St. Paul hapa..Tatizo la wakatoliki wengi wameshika sana mapokeo
Mnatia huruma, uongo naona umewaishia. Shetani kaishiwa mbinu za kudanganyaYes ofcourse...."The Clear Word Bible" nayo ni Biblia pia..ila ni ya kikundi cha Wasabato
Leo usikiapo sauti yake usiufanye moyo wako kuwa mgumu.Kweli gani...? Kwa mujibu wa nani...??
Yes ofcourse...."The Clear Word Bible" nayo ni Biblia pia..ila ni ya kikundi cha Wasabato
Weka mistari ya Biblia acha blaahblaahHakuna anayetaka kukutoa kwenye ukatoliki.....!ila acha kupotosha wakatoliki eti kwamba huungi mkono uwepo wa msalaba kanisani na kuhusiana na Maria....!
Tena nadiriki kusema wewe ni mchanga sana kwenye maandiko
Your really pointless guy never happened under the sun.......!
Ukiulizwa kwann unapingana msalaba kanisani au kwann kuna uwepo wa msalaba kanisani.....?utasemaje.....?
Wewe kama unaona kanisa liko kinyume rukusa kwenda kuanzisha kikundi chako kama vikundi vingine vilivyoanzishwa
Ni vigumu kulitoa Kanisa Katoliki kwenye mood yake kwa pointless kama hizi....
Inashangaza sana kwa mtu asiye Mkristo mda wote yeye ni kurandaranda kwenye mijadala ya Kikiristo..Wimbo hauna mwitikiaji huo badilisha tune. Ibada ya sanamu India taxes labda shetani ndo anaikubali upo hapo?
Umeelewa context na mantiki ya post yake...??Weka mistari ya Biblia acha blaahblaah
Kweli Mungu azidi kutufungua unaonekana kujisifia kuwa mkatoliki wakati wenzako wanajisifia kwa sababu majina yao yameandikwa kwenye kitabu cha Uzima! LoohMie ni Mkatoliki pure kabisa yaani kindakindaki,kinachonifariji ktk maisha yangu ya kiimani ni kwamba sijawahi kumuonea mtu kijicho au kuona kama anachoabudu anakosea as long as ndivyo alivyofundishwa na kuamini na mie sicho nilichofundishwa so ni chaguo lake na pia mara nyingi nimekuwa nikijiongeza kwamba Mungu pekee ndiye anayejua huyu yupo sahihi kuniabudu yule anakosea kuniabudu hivyo mimi ninani hadi niseme fulani hajui kuabudu?Ishu kwamba Catholics tunaabudu sanamu inaangukia ktk kauli yangu hapo juu,kwamba wanaopinga hawakufundishwa hivyo wamefundishwa kwa iman zao/laa kuna Mkatoliki mmoja alikengeuka basi hakuiva kiimani ndani ya Kanisa.mimi siabudu sanamu,hakuna Mkatoliki anayeabudu sanamu.Mkatoliki anaposali ile wewe unayoita sanamu yeye pale msalabani kwa jicho la rohoni anauona mwili wa mtu ukidondosha damu kabisa... hili ni vigumu sana kueleweka kwa wasio Wakatoliki na wataishia kutaka kubishana tu hapa.ieleweke vyema...Bible imekataza kuabudu masanamu,itakuwa ajabu kama watu zaidi ya bill1 wote wakaacha maneno Matakatifu ya Mungu wakawa vichaa kuabudu kitu kisichofaa ila kwa7bu wanaelewa wanachokiamini nadhani wangeachwa tu so tuachwe tukajuane na aliyetuumba na kutupa matashi.[HASHTAG]#nitaishi[/HASHTAG] Ukatoliki,nitakufa Mkatoliki,Mungu akipenda nitazikwa Kikatoliki.Ahsanteni.
Naona unalazimisha nyeupe kuwa nyeusi.unatekeleza uongo wa shetani ambaye ni baba wa huoInashangaza sana kwa mtu asiye Mkristo mda wote yeye ni kurandaranda kwenye mijadala ya Kikiristo..
Maadam upo nitaendelea kukuuliza iwapo unataka kuingia Kundini....ila Kuwa..
Wasabato hamuamini Utatu Mtakatifu...itawapasa muamini..
Wasabato mnapinga Ufufuko..itawapasa muamini kuwa Yesu ni Mungu.
Wasabato hamuamini Yesu kuwa ni Mungu itawapasa Mkiri kuwa Yesu ni Mungu..
Upo hapo
Angekuwa tapeli wa kiume ungemwamini? Mbona mnasujudia sanamu ya kike?Wakatoliki msijiangaishe kupoteza muda na hawa wasabato maana akili zao kama waislam, ata umueleze vipi hawazi kukuelewa kwa sababu ya chuki binafsi,, pili walishajiandaa kisaikolojia kubishi tu,
Kama kua msabato ndo kwenda mbinguni basi, wengi tunapoteza muda, kuwepo hapa duniani,, dini yenyewe imeanzishwa na tapeli la kike.
Yote hayo yanapatikana kwenye Biblia ya Kisabato Clear Word Bible...Naona unalazimisha nyeupe kuwa nyeusi.unatekeleza uongo wa shetani ambaye ni baba wa huo