Hivi wasabato, wakatoliki wamewakosea nini, hakuna maada hata moja ya msabato utakuta inafundisha neno la Mungu tofauti na kuwakosoa wakatoliki,
Hakuna hata mmoja atakae kwenda mbinguni kwa ajili ya dini yake,, Yesu mwenyewe kasema sio kila atajae bwana bwana atauona uzima wa milele,, wote wenye moyo safi ndio watakao muona bwana,
Sasa nyie kalieni kuwasema wakatoliki ni kama wao ndio wamefanya mioyo yenu iwe michafu,,,
Mtatoa mapovu lakini kabisa katoliki litakuepo mwanzo mpaka mwisho wa ulimwengu huu, izo effort zenu mnazotumia kuliharibu mngezitumia kuwekeza hata bustani za matunda leo mngekua ma barkhesa wadogo,,
Nawakumbusha tena wasabato, sio wenye dini safi ndio watakao muona BWANA,, bali wenye moyo safi.
Unakuta jitu linawatukana wakatoliki kua wanaabudu sanamu wakati jana tu lenyewe limetoka kuzini,,