Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Go read your scriptures! Dharau, kiburi, wivu, chuki, ni ibada kamili ya masanamu sawa sawa na kuabudu fedha, magari, majengo, ngono, ushirikina, mavazi n.k!
Nahisi wewe utakuwa umejichongea masanamu mengi sana. Na katika ulimwengu wa Roho utakuwa unaviabudu kikamilifu!
 
Go read your scriptures! Dharau, kiburi, wivu, chuki, ni ibada kamili ya masanamu sawa sawa na kuabudu fedha, magari, majengo, ngono, ushirikina, mavazi n.k!
Nahisi wewe utakuwa umejichongea masanamu mengi sana. Na katika ulimwengu wa Roho utakuwa unaviabudu kikamilifu!
 
Go read your scriptures! Dharau, kiburi, wivu, chuki, ni ibada kamili ya masanamu sawa sawa na kuabudu fedha, magari, majengo, ngono, ushirikina, mavazi n.k!
Nahisi wewe utakuwa umejichongea masanamu mengi sana. Na katika ulimwengu wa Roho utakuwa unaviabudu kikamilifu!
 
Hata hao wasabato still hata hio jumamosi wanayoifata ni kalenda ya wakatoliki.
Hii kalenda ya SAsa ilianzishwa na Wakatoliki miaka elf 2 iliyopita hata kabla ya uwepo wa usabato duniani ambao ulianzishwa mwaka 1890 na Hellen G White na Mwenzake
Should Christians worship on Saturday or Sunday?
It doesn't matter whether you go to corporate worship on Saturday or on Sunday, because that's not what really matters. What really matters is that you find your rest in Christ! And you can (and should) do that every day of the week!
 
Umeua!!
 
Mimi ni mkatoliki nisiyeunga mkono uwepo wa masanamu kanisani... Na ijumaa kuu huwa sijiangaishi kubusu msalaba. Sisali rozari kwakuwa naamini bikira Maria hawezi kusikia sala zangu...

Ntabakia mkatoliki kwa msimamo wangu.
Mimi pia hata kuyapigia magoti noo! tukiambiwa tupige magoti mbele yake huwa naelekea upande sio
 
Of course ni kanisa ambalo liko very organized ktk mambo mengi
na kimafanikio kielimu ,kwa huduma za kujitolea ktk jamii kama kusaidia yatima na wenye kuhitaji bila ubaguzi wowote , kuweka balance ktk imani na elimu dunia ...ratiba za sala za masifu mara kadhaa kwa siku,,liturujia,hayo ni mambo mazuri....
One day Nina Imani atakuja kiongozi ambaye atakuwa na vision ya kuziondoa tu kanisani...kwan zinakwaza baadhi ya watu ktk fikra za kumuabudu Mungu kiuhalisia...
na pia charismatic na vipawa vya ujazo wa Roho mtakatifu ni muhimu vipewe kipaumbele vina umuhimu katika ulimwengu wa roho...
Kwa upande wangu hayo mambo mawili pamoja na kuomba kupitia watu fulani ..ningependa yafanyiwe kazi....
Nje ya hapo sijaona ubaya mwngine

Be blessed all..
 
Kwani kuomba kwa kupitia Bikira Maria kunakuathiri vipi muombaji? Au Maria mkingiwa dhambi siyo mama wa Yesu
 
Wewe kama hutaki utaratibu wa ibada za RC, sepa tu uende kwa akina Kakobe au Mwamposa. Achana na sisi
Usijali kaka...Sisi sote ni wakristo hakuna dhehebu lililo kamilifu kuliko jingine....Ni katika kuhoji na kukosoana kwa nia ya kujengana katika ukristo wetu...Tuwe na umoja (unum omnes)

Aliye Mkamilifu ni Mungu pekee...Nasi sote tukaunganishwa kwa kuitwa Wakristo....hakuna aliye wa Paulo au Petro Bali sote ni wa Kristo..1 Korintho 1 :10 -19..

Basi tudumu ktk Toba,kupendana na tuendelee kumuomba Mungu aendelee kushughulika na tofauti zetu one day tuwe na umoja katika Kristo kama Baba,Mwana na Roho Mtakatifu walivyo Mungu ktk nafsi tatu...


Ubarikiwe
 
Ungeandika kiswahili.. kiingereza kinachosha
 
Mtu na phd yake anabusu ubao ili arehemewe ni kiwango kikubwa cha ujinga. Kuna mwengine anabandika stika au naweka picha ya muigizaji wa Yesu kwamba inamlinda. Ukosefu wa akili
 
Hesabu 21:8
Ndipo Naye Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Tengeneza nyoka wa shaba, umtundike juu ya mlingoti. Mtu yeyote atakayeumwa na nyoka, akimtazama nyoka huyo wa shaba, atapona.”

Maoni yangu kwenye hesabu 21:8
Kumbuka hapa nyoka ni kiumbe wa duniani, japo alikataza kutengeneza mfano wa kufanana kitu kilicho duniani

Kutoka 25:18-22
18 Nawe fanya makerubi mawili ya dhahabu; uyafanye ya kazi ya kufua, katika hiyo miisho ya kiti cha rehema, huku na huku.
20 Na hayo makerubi yatainua mabawa yao juu, na kukifunika hicho kiti cha rehema kwa mabawa yao, na nyuso zao zitaelekeana hili na hili; nyuso za hayo makerubi zitaelekea kiti cha rehema.
21 Weka kiti cha rehema juu ya hilo sanduku, kisha utie huo ushuhuda nitakaokupa ndani ya sanduku.
22 Nami nitaonana nawe hapo, na kuzungumza nawe pale nilipo juu ya kiti cha rehema, katikati ya hayo makerubi mawili yaliyo juu ya sanduku la ushuhuda, katika mambo yote nitakayokuagiza kwa ajili ya wana wa Israeli.

Maoni yangu
Kumbuka mwanzoni alikataa juu ya kutengeneza sanamu mfano wa vitu vya mbinguni, na sasa anamuru watengeneze makerubi

2 Nyakati 3:10
10 Na ndani ya nyumba ya patakatifu pa patakatifu akafanyiza makerubi mawili ya kuchonga; wakayafunikiza kwa dhahabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…