Ukweli kuhusu wanawake kuzaa nje ya ndoa

Tupe evidende mkuu kwamba Eva alizaa nje ya ndoa
Maana bible inasema alikula tunda na akampatia na mume wake naye akala,
Kuzaa nje kwa Eva sina uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemusaidi kutoa baadhi ya evidence mkuu alieleta mada Kupitia bandiko langu Hapo juu..

Kilichobaki tumia na wewe Akili na maarifa yako kuendelea kujua ukweli.
 
UKISOMA KWENYE MWANZO 1:28
ALISEMA ZAENI MKAONGEZEKE MKAIJAZE NCHI.
MUNGU ALIRUHUSU KUZAA.
NA ISHU YA NYOKA NA EVA .
NYOKA ALIKUWA NI KIUMBE CHA BUSTANI YA EDENI KAMA VIUMBE WENGINE.
ILA SHETANI ALIMUINGIA YULE KIUMBE.
HAKUKUWA NA UZINZI WOWOTE KATI YA NYOKA NA EVE.
LILIKUWA NI TUNDA LA MTI.
 
Waliiruhsiwa kuzaa ni wengine na waliowekwa bustanini ni wengine tofauti
 
Napinga kuwa Eva alizaa nje, angezaa na shetani? Sawa shetani alianza ila Adamu ndiye aliyezaa na Eva.
 
Ukisoma Biblia, Eva alikula tunda na tunda ilikuwa ni kufanya mapenzi. Alifanya mapenzi akapta ujauzito nje ya mume wake Adam na Adam alilea tu.
ACHA UHONGO BRO NANI ALIMPA UJAUZITO EVA COZ WALIKUWA BINADAMU WAWILI TUU.
USIDANGANYE.
EVA ALIKULA TUNDA KAMA TUNDA LA MTINI.
 
Sikuhizi wapo wanawake wengi wanazaa na wanume wengine .
Ni vyema mume ukajua mzunguko wa hedhi wa mkeo.
Unajua vizuri hata ukikitana na mkeo uwemakini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…