Ukweli kuhusu wanawake kuzaa nje ya ndoa

Ukweli kuhusu wanawake kuzaa nje ya ndoa

Tupe evidende mkuu kwamba Eva alizaa nje ya ndoa
Maana bible inasema alikula tunda na akampatia na mume wake naye akala,
Kuzaa nje kwa Eva sina uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemusaidi kutoa baadhi ya evidence mkuu alieleta mada Kupitia bandiko langu Hapo juu..

Kilichobaki tumia na wewe Akili na maarifa yako kuendelea kujua ukweli.
 
Kama hajui shetan alifanya tendo na Eva nyoka ni lugha tuu imetumika pia tunda hakukuwa na tunda la katikati Bali mungu aliwaambia wasikutane kimwil mpaka atakapo waruhusu


Ukisoma biblia inasema "baada ya Eva kumshawishi Adam kula tunda na adamu akashawishika baaada ya kula wakajikuta wa tupu(uchi)"

Sent using Jamii Forums mobile app
UKISOMA KWENYE MWANZO 1:28
ALISEMA ZAENI MKAONGEZEKE MKAIJAZE NCHI.
MUNGU ALIRUHUSU KUZAA.
NA ISHU YA NYOKA NA EVA .
NYOKA ALIKUWA NI KIUMBE CHA BUSTANI YA EDENI KAMA VIUMBE WENGINE.
ILA SHETANI ALIMUINGIA YULE KIUMBE.
HAKUKUWA NA UZINZI WOWOTE KATI YA NYOKA NA EVE.
LILIKUWA NI TUNDA LA MTI.
 
UKISOMA KWENYE MWANZO 1:28
ALISEMA ZAENI MKAONGEZEKE MKAIJAZE NCHI.
MUNGU ALIRUHUSU KUZAA.
NA ISHU YA NYOKA NA EVA .
NYOKA ALIKUWA NI KIUMBE CHA BUSTANI YA EDENI KAMA VIUMBE WENGINE.
ILA SHETANI ALIMUINGIA YULE KIUMBE.
HAKUKUWA NA UZINZI WOWOTE KATI YA NYOKA NA EVE.
LILIKUWA NI TUNDA LA MTI.
Waliiruhsiwa kuzaa ni wengine na waliowekwa bustanini ni wengine tofauti
 
Napinga kuwa Eva alizaa nje, angezaa na shetani? Sawa shetani alianza ila Adamu ndiye aliyezaa na Eva.
 
Ukisoma Biblia, Eva alikula tunda na tunda ilikuwa ni kufanya mapenzi. Alifanya mapenzi akapta ujauzito nje ya mume wake Adam na Adam alilea tu.
ACHA UHONGO BRO NANI ALIMPA UJAUZITO EVA COZ WALIKUWA BINADAMU WAWILI TUU.
USIDANGANYE.
EVA ALIKULA TUNDA KAMA TUNDA LA MTINI.
 
Ukiwa unataka kumpa mwanamke wako ujauzito na unataka mambo yasiende kushoto, hakikisha mnakwenda sehemu mbali na nyumbani..... Yaani vacation sehemu ambapo hamjulikani..... Huko ndipo unachapa kitu na uhakikishe umepima kama mbegu zako zipo active plus ule vizuri zile wiki mbili za kabla hamjaondoka hakikisha unajizuia kufanya nae ili usave nguvu ya kugegeda mkiwa likizo.....

Kwan huwa hamjiulizi watu huwa wanasafiri kipindi cha honeymoon baada ya ndoa.... Ni kwasababu inafahamika wanawake wa siku hizi ni mitambo sana katika kuwa na adabu na ndoa zao...... Hapo anaweza kulana na X wake mimba ukaja bebeshwa wewe....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuhizi wapo wanawake wengi wanazaa na wanume wengine .
Ni vyema mume ukajua mzunguko wa hedhi wa mkeo.
Unajua vizuri hata ukikitana na mkeo uwemakini sana.
 
Kwa hio Mungu hakuruhusu Adamu na Eva kuzaa???
Kabla ya Dhambi kuingia.
Na nipe ushahidi kuwa Eva alizini na nyoka.
Mwanzo 5.....mwanzo 3:15 Yohana 8:44.View attachment 2547446
Screenshot_20230312-143431.jpg
View attachment 2547447
 
Back
Top Bottom