Mr Tyang
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 1,728
- 6,806
Nimemusaidi kutoa baadhi ya evidence mkuu alieleta mada Kupitia bandiko langu Hapo juu..Tupe evidende mkuu kwamba Eva alizaa nje ya ndoa
Maana bible inasema alikula tunda na akampatia na mume wake naye akala,
Kuzaa nje kwa Eva sina uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichobaki tumia na wewe Akili na maarifa yako kuendelea kujua ukweli.