Utoe na t.go kbs usiishie kutikMapema Sana tunatiki
humohumo mnajichanganya na waandamanaji halafu wote mnapokea mkong'oto wa polisi, ombeni mvae sare zenu mjitofautishe na waandamanajiMapema Sana tunatiki
Mwaka huu hakuna uchaguziKutiki maana yake ni kuweka alama.ya vyema. Hata kama ulichokiwekea alama ya vyema hakifai kwa manufaa yako.
Lakini kuchagua ni kupambanua kile kilicho chema kwa manufaaa yako na taifa lako.
Hivyo hata kama wanaokwenda kutiki watatiki tu kama mkumbo.
Lini watatiki?
trust me hakuna maandamano mkuuhumohumo mnajichanganya na waandamanaji halafu wote mnapokea mkong'oto wa polisi, ombeni mvae sare zenu mjitofautishe na waandamanaji
sio wote ni kama wewe mkuu πUtoe na t.go kbs usiishie kutik
Unawezaje kutiki kama Zombi wakati Lissu yuko Gerezani.Mapema Sana tunatiki
Kwani list anagombea?Unawezaje kutiki kama Zombi wakati Lissu yuko Gerezani.
Mchuano mkali ni Samia vs Lissu sio Samia vs Salumu Mwalimu.
Hapana hagombei kwasababu yuko jela.Kwani list anagombea?
Lakini kuchagua ni kupambanua kile kilicho chema kwa manufaaa yako na taifa lako.ππ¨Kutiki maana yake ni kuweka alama.ya vyema. Hata kama ulichokiwekea alama ya vyema hakifai kwa manufaa yako.
Lakini kuchagua ni kupambanua kile kilicho chema kwa manufaaa yako na taifa lako.
Hivyo hata kama wanaokwenda kutiki watatiki tu kama mkumbo.
Lini watatiki?