Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini,
Nimefanya huu uchunguzi usio rasmi, kwenye ndoa nyingi, ukiuliza mwanamke love story yake ya jinsi alivokutana na mmewe, utapata moja ya majibu haya:
1) Watakwambia hivi (nawanukuu)
"Yani huyu mume nilie nae wala hata sikuwa namuwaza, alitumia mwaka mzima kunitongoza, nilimzungusha mda mrefu, nilikuwa na boyfriend wangu mwingine niliempenda, sema boyfriend mwenyewe alikuwa haeleweki"
Which means mume aliolewa nae alikuwa second choice, baada ya first choice yake kushindikana, au baada ya kuona aina ya wanaume anaowataka hawamtongozi, au hawa-commit kwake. Ila kwenye ndoa hizi za type ya 1, kama mke na mme mnajielewa, ndoa itadumu hadi kifo kiwatenganishe.
2)Ni aina ya wanawake ambao wameingia kwenye ndoa kutafuta unafuu wa maisha k.v Joyce kiria alikiri kuingia kwenye ndoa sababu alikuwa na hali ngumu kiuchumi, wanawake wengi sana hu-fall kwenye hii category. Ubaya ni kwamba unaishi na mke ndani unamhudumia hela, ila ile raw physical attraction juu yako anakuwa hana, so kimoyomoyo anakuwa anateseka na anakuvumilia, akiwa mwema ataishi na wewe, mwishowe atakuzoea mtakuwa na bond ya urafiki. Akishindwa baada ya mda mfupi atadai talaka, au atakuletea mtoto wa nje, au atakufanyia vituko vingi ndoani, maana ataona kila unachofanya ni kero.
This is one of the reason ambayo Ina explain why wadada wengi ambao ni successful corporate ladies wako kwenye umri wa kuolewa ila bado wapo single, ni kwasababu pesa wanazo, sasa kupata mwanaume ambae ni handsome ambae atawaoa, hapo ni changamoto, wanaishia kukutana na wanaume wana kazi na hela kama wao, lakini hao wanaume wana sura mbaya, hivyo wanabaki kuwa kwenye dillema.
Wanaishia kujifariji kwa maneno yao kama "nina hela, mwanaume atanipa nini", "mwanamke ukiwa na hela hata nyege zinakata" n.k
Wanaume tuwe macho.