Hii ni 100% ukweli. Na dalili muhimu kuwa mkeo alijilamizisha kuolewa ni.. Akikosea haombi msamaha, anataka kubembelezwa kwa makosa yake. Hana ubunifu kumhudumia mume, ni kama ana mlinzi nyumbani na hajui, mme ameoga, amekula, anaumwa, nguo chafu nk. Mkipishana kidogo, neno la kwanza nimechoka kunyanyaswa. Anakudunisha na wanaume wengine walio bora. Ukisafiri hakupigii hakujulii hali au kuuliza kama umefika salama. Ukimtania au kutaka kucheza na kufurahi naye atakuambia sitaki mambo ya kitoto toto. Hapendi muongozane au kutoka naye.