Ukweli mchungu: Asilimia 70 ya wanawake walioolewa hawawapendi waume zao

Mleta Mada Fanya halaka kabla hazijauzwa au kupewa mtu mwingine shauri yako we chelewa tu mpaka muda huu kama hujabaki na boksa basi unacheka cheka ovyo fanya upesi uziwahi usiwasikilize wanaosema kwamba eti ni nywele waongo wadai halaka wakurudishie.
 
Hakuna Tafsiri maalumu ya haya mambo. Unaweza kumtongoza mwaka mzima Bado ukimuoa anakupenda tu Tena sana.

Hii hutokana na kwamba wanaume wengi huingia nagia ya kuoa ila akimla tu anaondoka nduki Kwa seep Kali sana.

Pia unaweza tongoza mwanamke ndani ya wiki tu ukamuoa halafu kule ndani kukawa Kuna Waka moto si utani!!

MIMI MWENYEWE.

Ukweli ni kwamba wote niliokuwa nao miadi ya kuja kuwaoa yaani mabinti nilikuwa nao malengo ya kuwaoa sikuwaoa wote.

Bali niliambiwa tu kuwa Kuna binti sehem fln kijijn anatabia ABC hivyo nenda ukamuone uoe huyo.

Vile sikuwa na muda wa hivyo nilijiridhisha tu kupitia huyo mtu aliyeniambia siku ya siku nikaenda direct kuchumbia sikuwahi muona Wala yeye kuniona na alikubali tukaoana ndoa ilifungwa maisha yanaendelea.

Changamoto zipo tu ila tuna furaha mno sijui Kwa upande wake yeye lkn kipindi nachumbia aliniambia tu kuwa anataka ajiendeleze kusoma kama nipo Tyr nikimuoa akasome sawa.

Nikamwambia hapana maana nahitaji mtu wakuwa nyumban nk
Alikubali baada ya kumpa nondo za maana.


Narudia hakuna formula. Wapo wanawake wapiga Dili wamekuja kwenye ndoa Kwa manufaa Yao tu nk
 
Mkuu hongera sana.
 
sababu hazitoshi ongeza, kama ni hizo hizo fanya utafiti tena, kama ni mawazo yako hebu waza tena na tena
 
Ishi na hi, kiumbe ambacho hua kinapendwa bila sababu yoyote hapa duniani ni 1. Mwanamke, 2. Mtoto na 3. Mbwa na kiumbe kinacho gawa huo upendo ni kiumbe ME/M. Wanawake na watoto hupenda KWASABABU, bila sababu mwanamke HAWEZI ku fall in love ❤️, so hao uliowahoji hata kama wange bahatika kuolewa na hao waliowapenda still wangekuja na story hizo hizo. Mwanaume ndio kiumbe pekee kinacho PENDA. Chunguza hilo
 
Mbona unaenda kinyume na wenziio 😅😅 kikao chenu cha mwisho si kilisema mwanamke ndio anahitaji ndoa Kuliko mwanaume usiwe mtoro wa vipindi...
Kinamfanya ahitaji hio ndoa au mwanaume ni vitu, akiwa navyo kabla hana haja, na akisha pata haja inaisha.
 
Kitu ukiwa nacho chumbani unaanza kukizoea ila kikisepa ndio thamani yake huonekana.
Hao hao wanaosema sikumpenda we ukigundua piga chini kmmke huku mtaani kuna dhiki ya ajabu sana kujitegemea wanashindwa wanaishia kuuza bar
 
Inawezekana kuwa mwanamke akikwambia hivyo anakuwa ameshatembea na wanaume idadi sio ndogo
 
Well spoken.. ✅
 
Lakini si anampa? Alipatwa patwa vipi si tatizo as long as anatoa kila inapohitajika na ujauzito anabeba. Huwezi jua mkuu pengine ukimhoji hata mzazi wako au wangu au wa member yoyote ataangukia humo lakini ndo kama hivi ushazaliwa upo hapa unaleta tafiti na tunatoa maoni.
 
Ndoa nyingi zina matatizo makubwa sana kwa Karne tulionao hamna ndoa yenye amani katika ndoa kumi unaweza ukakuta Moja ndio Ina aman na shida kubwa nayoiona ni tamaa za kidunia na kutaka kuishi maisha ambayo sio yako uwezi ukaishi maisha mazuri na wakati hujayafanyia kazi na ukiangalia kwa sasa wanawake wengi waliolewa ni Malaya sana ukimgusa kidogo tayari ndoa za amani zilikuwa enzi na nuha
 
Mwanamke ameumbiwa Kuwatii waume wala siyo kuwapenda! Wanaume wapendeni wake zenu nanyi wake watiini waume zenu! Soma hii kutoka Waefeso 5:22-33
"Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno; apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa. Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa..........."
 
Hata wewe utaoa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…