Ukweli mchungu: Asilimia 70 ya wanawake walioolewa hawawapendi waume zao

Wanawake ni viumbe vyenye Siri sana. Anaweza ishi na ww miaka hata mitano hakupendi kabisa na asikuonyeshe, hali hiyo ni tofauti na wanaume.... Ila ikatokea akakupenda huwaga wanapenda kupitiliza mpaka utajiuliza hivi ni huyu au mwingine Lovelovie
😁😁😁
 
Ukielewa huu msemo hautapoteza muda kwa mwanamke:-

1.Mwanamme akipata fedha anajali ndoa na kuidumisha.
2.Mwanamke akifanikiwa kiuchumi anawaza kuvunja ndoa kuishi independent.

Kwahiyo ukiona mwanamke yupo kwenye ndoa means hana pa kwenda ,yupo financially dependent kwa mme.
 
Ukimtania au kutaka kucheza na kufurahi naye atakuambia sitaki mambo ya kitoto toto.

Dah [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…