Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

wewe mfuga Govi kanisani, unafikiri kuimba kwaya ndio kuabudu mungu hataki nyimbo za viuno mungu angetaka nyimbo kuwa ni ibada basi diamond na harmonize wangekuwa mitume wenu
Find someone of your league to parallel your mediocrity.

Damn Fool...
 
kula K-VANT!!
 
Mungu hayupo.

Ndio maana mnabaki kuparangana kutetea kisicho kuwepo.

Mungu huyo hawezi kuja kujidhihirisha, kusuluhisha na kuweka njia sahihi ya yeye kuabudiwa kwa vile Hayupo.

Mnabaki kutetea fictional character.
Huwezi kumpangia Muumba amna ya kutenda.
Yeye Mungu ndiye aliyeamua iwe hivyo.
Omba utakalo lakini atakupa atakalo yeye.
Pia Mungu atakuweka anapotaka yeye uwepo kwa hekima yake si maamuzi yako wala wafuasi au wazazi wako.

Hata uombe nini Mungu ameshakuamulia nini upewe,nini kikufoke katika mazuri na mabaya kwa hekima yake Muumba.
Na unapoomba yeye ndiye mwenye maamuzi ya kukubali au kutaa,akupeulichoo.ba au mbadalaau asikujibu kabisa. Vigezo na masharti huwa ni vya Mungu mwenyewe. Hakuna wa kumlazimisha Mungu
Lakini ukiwa mcha mungu wa kweli basi utajuwa hata namna ya kuomba na abdabu za maombi.

Wengi wetu hatujui taratibu na adabu za Kumuelekea Mungu aliye Mkuu mtakatifu mwenye kuheshimiwa na viumbe vyote isipokuwa watu wapumbavu ambao hudhani wamejileta duniani wenyewe na pumzi wanayopumia ni kwasababu ya useless wao na ujanja wao.
Kumbe yote yamepangwa na Mungu.
 
Mbona rahisihii
Hebu Soma maneno ya Mungu Mwenyewe anasema:-
{ وَمِنَ ٱلنَّاسِ مَن يُجَٰدِلُ فِي ٱللَّهِ بِغَيۡرِ عِلۡمٖ وَيَتَّبِعُ كُلَّ شَيۡطَٰنٖ مَّرِيدٖ }
[Surah Al-Ḥajj: 3]

"Na miongoni mwa watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, na wanamfuata kila shet'ani aliye asi."

Endelea kumsikilza ! Mungu anazidi kujifafanua.
{ يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ إِن كُنتُمۡ فِي رَيۡبٖ مِّنَ ٱلۡبَعۡثِ فَإِنَّا خَلَقۡنَٰكُم مِّن تُرَابٖ ثُمَّ مِن نُّطۡفَةٖ ثُمَّ مِنۡ عَلَقَةٖ ثُمَّ مِن مُّضۡغَةٖ مُّخَلَّقَةٖ وَغَيۡرِ مُخَلَّقَةٖ لِّنُبَيِّنَ لَكُمۡۚ وَنُقِرُّ فِي ٱلۡأَرۡحَامِ مَا نَشَآءُ إِلَىٰٓ أَجَلٖ مُّسَمّٗى ثُمَّ نُخۡرِجُكُمۡ طِفۡلٗا ثُمَّ لِتَبۡلُغُوٓاْ أَشُدَّكُمۡۖ وَمِنكُم مَّن يُتَوَفَّىٰ وَمِنكُم مَّن يُرَدُّ إِلَىٰٓ أَرۡذَلِ ٱلۡعُمُرِ لِكَيۡلَا يَعۡلَمَ مِنۢ بَعۡدِ عِلۡمٖ شَيۡـٔٗاۚ وَتَرَى ٱلۡأَرۡضَ هَامِدَةٗ فَإِذَآ أَنزَلۡنَا عَلَيۡهَا ٱلۡمَآءَ ٱهۡتَزَّتۡ وَرَبَتۡ وَأَنۢبَتَتۡ مِن كُلِّ زَوۡجِۭ بَهِيجٖ }
[Surah Al-Ḥajj: 5]:
Enyi watu! Ikiwa nyinyi mna shaka ya kufufuliwa basi kwa hakika Sisi tulikuumbeni kutokana na udongo, kisha kutokana na manii, kisha kutokana na kipande cha damu ilio gandana, kisha kutokana na kipande cha nyama chenye umbo na kisicho kuwa na umbo, ili tukubainishieni. Nasi tunakiweka katika matumbo ya uzazi tunacho kitaka mpaka muda ulio wekwa. Kisha tunakutoeni kwa hali ya mtoto mchanga, kisha mfikie kutimia akili. Na wapo katika nyinyi wanao kufa, na wapo katika nyinyi wanao rudishwa kwenye umri wa unyonge kabisa, hata mtu awe hajui kitu baada ya kuwa anakijua. Na unaiona ardhi imetulia kimya, lakini tunapo yateremsha maji juu yake husisimka na kututumka, na kumea kila namna ya mimea mizuri.
JE UNA HOJA HAPO?
 
Logical non sequitur.
 
Ulicho andika hapa ni hekaya sawa na kuleta hadithi za Abunuwasi na kudai zina ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…