Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Mimi mzee Kitombile naunga hoja, sisi wanaume wasumbufu wachakatiji ndio huwa tunalipiwa adi lodge, na mwanamke akaa na tahadhari sana anajua hayupo peke yake, wakuu acha tuwachakate muda mchache mambo ni mengi.
 

Kati ya mwanaume na mwanamke nani ni oppresser?
 
Huu uzi upewe tuzo ya noble prize.
 
Nenda kamchakate, kula mbususu hukuzuiliki lakini usioe, oa nguvu za kiume zikifikia ukomo
 
Nijuavyo mm human are selfish but women are twice as much as men,so the best thing is just timiza majukumu yako the rest control it,huwezi mbana a human being anaefundishwa na mzungu kila ujinga wa dunia kiganjanji mwake you will lose and become crazy.
Mume bora alikufa ktk mkutano wa Beijing.
 
Acha kujifariji na ndoa.

Ndoa ni utapeli

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Zama zimebadilika na si utapeli, karne ya 21 ni mambo ya kisasa hivo kubali kuendana na kasi hii. Usikubali mda ukubadilishe, wazazi wetu waliweza vipi katika karne zao kuishi na familia na hawakukataa ndoa. Tutegemee kizazi cha watoto wenye malezi nusu baba na nusu mama na wale wa kitaa. Ok nini kitatokea kwa vijana 2070. Hili taifa namna gani.
 
mkuu umeandika nondo tupu hakika olmost 92% ni hali iliyopo na tunaexpirience sana katika maisha yetu ya kila siku kwenye hii safari ya mahusano.
binafsi nishapitia mahusiano kibao sana hapa katikati baada ya kuachana na mke wangu nilie dumu nae kwa muda wa miaka 5(no marriage).amepata ndoa tangu mwaka jana na anaishi na mume wake,lakini nikimuhitaji nampata namtumia vilivyo anarudi kwake.mume wake yuko mkoani huko ni soldier.

nasupport hoja mkuu never trust a woman never never,never got marriage coz ni mtego huo na kifungo kwetu sisi wanaume.
 
Wazee wetu walitumia mfumo dume, kuleta heshima kwenye ndoa, wake zao waliwatii na kuwaheshimu.

Mi wanawake ya sasa hivi inataka haki sawa kwenye kila sekta halafu inataka wanaume waendelee kuwahudumia mahitaji yao!!

Huu kama sio Utapeli na unyonyaji ni nini?

Mtu akitaka haki sawa awe tayari kujihudumia mwenyewe.

Mwanamke lazima awe submissive otherwise ndoa ni utapeli.
 
Watu wanaomuabudu Mungu wanateseka , hali ni mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…