Ukweli Mchungu: Haji Manara ni mkubwa kuliko TFF

Umaarufu sio ukubwa. Hata akina Harmorapa/Chikumbalaga/Pierre wamewai kua maarufu na kupata followers wengi. Kwaio nao walikua wakubwa!! Manara sawa ana ushawishi kuzidi rais wa TFF lakini huwezi sema ni mkubwa kuzidi TFF labda kama ni ajenda tu unaleta ambayo sisi mashabiki wa kawaida hatuijui
 
Ni mkubwa kuliko TFF na huo ndiyo ukweli, hifadhi maneno yangu.
 
Kama ni mkubwa ajaribu kujihusisha na masuala ya soka ndani na nje ya nchi aone! Au asilipe 20M tuone nani ni mkubwa kati ya hao wawili. Eti ni mkubwa, kama angekuwa ni mkubwa kuliko hao aliomba msamaha wa nini?
 
'…Kama huchukiwi basi tambua huna thamani wala maana yoyote …' -Sheikh Othman Maalim
Na hakuna duniani mtu asiye chukiwa, hata wewe unachukiwa japokuwa huwafahamu wote wanaokuchukia
 
Ningeona maahabiki wengine angalau 10 kama wewe, ningeshawishika kujiunga na utopolo lakini ndio kama alivyosema "Mfungwa" kuwa ukimtoa baba yake na mzee Kikwete walio baki wote ni matahira
 
Siku ya Mwananchi MC wa tukio ni Haji Manara na hapangiwi chakusema na wapuuzi wapuuzi. Siku hiyo ndo utaona ukubwa wa Haji ukilinganisha na tiefuefu.
Yanga haiwezi kubariki ukiukaji wa hii adhabu.
 
Haji amezaliwa na roho ya kukubaliwa, hatuwezi kushindana na karama ya mtu
Rangi yake tu ndo inatia huruma siyo kukubaliwa. Hivi uliwahi kukaa na hawa watu wewe? Unapokuwa na tatizo flani ukabahatika kuwa maarufu na siku ukienda kinyume ukaadhibiwa lazima wakukuhurumia watajitahidi kukutetea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…