Saidama
JF-Expert Member
- Jun 10, 2022
- 598
- 1,151
Umaarufu sio ukubwa. Hata akina Harmorapa/Chikumbalaga/Pierre wamewai kua maarufu na kupata followers wengi. Kwaio nao walikua wakubwa!! Manara sawa ana ushawishi kuzidi rais wa TFF lakini huwezi sema ni mkubwa kuzidi TFF labda kama ni ajenda tu unaleta ambayo sisi mashabiki wa kawaida hatuijui