Ukweli Mchungu: Hakuna biashara Serikali inaweza kufanya kwa ufanisi

Nimesema ni wezi tu! ndio hoja yenyewe, nimesema wanatuhadaa tu ndio hoja yenyewe.
Sasa huo mbadala uwe vipi?
Auziwe GSM??? au unataka kusema nini.

Unaweza kututajia ni kitu gani wazungu wanatuibia hadi sasa? Hii itasaidia kujua kama unachoongea unakijua au unakaza fuvu.
 
Mbona huku Ujerumani reli ni mali ya serikali, shirika la Posta /DHL ni mali ya serikali. Ni umakini wa watendaji. Kama sheria zikifuatwa all major infrastructure serikali inasimamia vizuri tuu
 
Tunazungumzia ubovu was mashirika ya umma wewe unalrta stori za wazungu kama scapegoat.

Wewe mzee ni mpumbavu.
Kupanda na kushuka treni, na kukosa mategemeo ya kuwa yanafanana za Wazungu ndio yanapeleka mashirika yetu kuwa mabovu? Hamieni huko. Mmelazimishwa kuishi hapa?

Nitarudia. na kuongeza, lengo kuu la hii mada ni kuweka taswira ya uongo..
. ni la Uhasama.
Wacha niwe mpumbavu wewe uendele kutawaliwa
 
Unaweza kututajia ni kitu gani wazungu wanatuibia hadi sasa? Hii itasaidia kujua kama unachoongea unakijua au unakaza fuvu.
Ukinitajia mbadala wa nani atafanya vizuri katika kuweka sawa, hilo shirika tajwa, Nitakujibu.
huyo mtu binafsi anatoka wapi, manake mwishoni mtasema mzungu aje, wacha nikaze fuvu.
 
Kupanda na kushuka treni, na kukosa mategemeo ya kuwa yanafanana za Wazungu ndio yanapeleka mashirika yetu kuwa mabovu? Hamieni huko. Mmelazimishwa kuishi hapa?

Nitarudia. na kuongeza, lengo kuu la hii mada ni kuweka taswira ya uongo..
. ni la Uhasama.
Wacha niwe mpumbavu wewe uendele kutawaliwa
Narudia tRNA wewe mbuzi ni mpumbavu. Tuhame hapa, hii nchi ni ya baba yako.

ugeuka mitala wa vifutu was CCM huko, ndio mnajiina kama hii nchi imegeuka ni Mali yenu?
 
Mbona huku Ujerumani reli ni mali ya serikali, shirika la Posta /DHL ni mali ya serikali. Ni umakini wa watendaji. Kama sheria zikifuatwa all major infrastructure serikali inasimamia vizuri tuu
Cha ajabu ni Mwafrika tu ndie asiyejua. Ndicho wanachotaka tuamini. Kwa akili zilizotawaliwa zinaamini. Kwangu, kama jamaa huko juu "Fuvu langu ni kavu na halipenyezi upumbavu.
 
Narudia tRNA wewe mbuzi ni mpumbavu. Tuhame hapa, hii nchi ni ya baba yako.

ugeuka mitala wa vifutu was CCM huko, ndio mnajiina kama hii nchi imegeuka ni Mali yenu?
Sasa unalia nini?
punguza jazba. Uhame tu.
 
Kwani
Mbona huku Ujerumani reli ni mali ya serikali, shirika la Posta /DHL ni mali ya serikali. Ni umakini wa watendaji. Kama sheria zikifuatwa all major infrastructure serikali inasimamia vizuri tuu
Kwani Ujerumani ni Tanzania? Mada inahusu Tanzania
 
Kupanda na kushuka treni, na kukosa mategemeo ya kuwa yanafanana za Wazungu ndio yanapeleka mashirika yetu kuwa mabovu? Hamieni huko. Mmelazimishwa kuishi hapa?

Nitarudia. na kuongeza, lengo kuu la hii mada ni kuweka taswira ya uongo..
. ni la Uhasama.
Wacha niwe mpumbavu wewe uendele kutawaliwa
Unaonekana huna exposure na akili pia
 
Wataalamu wa kuendesha STATE OWNERSHIP/ STATE OWNED ENTERPRISES / STATE COMPANIES hapa duniani ni CHINA asilimia 60%-70% ya makampuni ya China ni ya serikali na yanafanya vizuri ndani ya China na duniani kote.

Tanzania tukajifunze China kuendesha haya mashirika katika ubora au tuajiri wataalamu kutoka China watuendeshee haya mashirika yetu kwa miaka 10+
Kwani China ni Tanzania au Afrika?
 
Ahamie wapi? Umewahi hata kupanda treni ya Kigoma? Umeona vyoo vyake vilivyo?
Umeshawahi kuona vyoo vya treni kwenda ufaransa kutoka uingereza.? Yale yale, kuwa ni mavi na mikojo ya Waafrika ndio yananuka. Ahamie kokote anapotaka.
 
Akili zetu si unazijua hakuna kitu twaweza tupo kama mazamwamwa we cannot manage hata bustani za mboga
 
Back
Top Bottom