Ukweli Mchungu: Hakuna kundi la vijana hapa bongo linaloongoza kufurahia maisha kama mabinti wenye makalio makubwa

Ukweli Mchungu: Hakuna kundi la vijana hapa bongo linaloongoza kufurahia maisha kama mabinti wenye makalio makubwa

Kana mwili mzuri na rangi nzuri. Kakijitambua kakajitunza. Itakuwa 🔥🔥🔥 Ila jamani kwenda hizo sehemu hawezi kuwa anafanya kazi, biashara au ana jamaa yake anayemuhudumia?

hao viumbe wanaishi maisha very expensive sana, dada kama unafunguliwa mafile ya lifestyle zao unaweza ukachanganyikiwa wewe.
 
View attachment 3385636

Wengine picha zetu za before and after bado mbavu zimekakamaa njaa tupu🤣 ila hawa tipwa tipwa kamechipukia juzi kana 21yrs old ila ghafla unaona kanapiga picha mara kapo ngoro ngoro mara dubai, mwaka kesho kana duka la nguo hapo sinza.
Nilikuwa napenda wenye mizigo, ila kadri umri unasonga mbele, nimejikuta naona mwanamke ni mwanamke tu, hawana tofauti
 
View attachment 3385636

Wengine picha zetu za before and after bado mbavu zimekakamaa njaa tupu🤣 ila hawa tipwa tipwa kamechipukia juzi kana 21yrs old ila ghafla unaona kanapiga picha mara kapo ngoro ngoro mara dubai, mwaka kesho kana duka la nguo hapo sinza.
Kama ni kama huruma hakalali usingizi wa kutosha,maana kanatumika kwa speed kuliko train la SGR!
 
mleta mada yupo sahihi, wanaishi maisha ya hatari sana, yani sisi mabaharia wa uswahilini tunatakiwa tuwawahi kabla hawajawa maarufu na kukumata hela ndefu, wakifika juu tu utashia kula kwa macho tu na kulialia na umaskini
 
Happy Birthday to Me 😍😍😍 Counting my blessings with a grateful Heart 🤗🤗New 365 days of Massive...jpg
 
Back
Top Bottom