Mbn hapa pale coco beach 🤔 huyu ana trend
Mbn hapa pale coco beach 🤔 huyu ana trend
Miaka ya nyuma 90s huko kulikuwa na dada anaitwa anty sonni, hadi yule jamaa wa gqzeti la sani alikuwa anamchoraSanchoka huyo, ni Hatari sana, TAKO limempa maisha anaunguza hela kuliko sigara inavyoteketea ikivutwa. kwa sasa wanaommudu ni wauza ngada, waheshimiwa na wafanya biashara wenye hela ndefu tu
Ni mbongo au 🤔 samahani sina exposure yoyote zaidi ya JfSanchoka huyo, ni Hatari sana, TAKO limempa maisha anaunguza hela kuliko sigara inavyoteketea ikivutwa. kwa sasa wanaommudu ni wauza ngada, waheshimiwa na wafanya biashara wenye hela ndefu tu
Utanenepa kikubwa uwe na mwili mzurii tuu,Sisi mishale sasa ghai 🙌🏾😟
Afadhali umenitetea,nitalala unono sasa.Utanenepa kikubwa uwe na mwili mzurii tuu,
MWanamke awe portable kwenye mzigo with hip kwangu naona anafaa
Ila wenye misambwanda aaah naona jau Tena ukute Lina mabonde milima ya uluguru ndo kabisa,
awe tuu na tako mid size with hip au upaja 😍😋
Ni mbongo au 🤔 samahani sina exposure yoyote zaidi ya Jf
Baada ya kuacha kutumia Instagram aseeh mambo mengi siyajui mkuu,dah mkuu unaishi nchi gani? Ni mchaga kabisa yupo hapa DSM. Mbona mda mrefu sana anakamata hapa town, alipokea kijiti kwa marehemu Masogange mpaka hii leo peak yake haijesha.
Relax furahia maisha yako achana na maneno ya watu,Afadhali umenitetea,nitalala unono sasa.
Baada ya kuacha kutumia Instagram aseeh mambo mengi siyajui mkuu,
Kwann mkuubora ulivyoacha, mimi mpaka naishia kuchanganyikiwa.
Ndo uwezo wako ulipoishia hapo… sina shaka kukuona au kukusikia umetongozwa na umefukuliwa mtaro mtoto wa kiume kama una mawazo machafu na chakavu namna hiyohayo maneno ya mkosaji, hawana akili vipi wakati wanaishi maisha bora kuliko wewe
Sasa mfano huyu hata kama hakupiga shule..atakuelewa kweli eti umwambie akasome classification yote ya form three😆😆😆??Huyu mtoto wa Kipemba ni hatari sana, kwa mujiba wa taarifa za karibu anamiliki Range 2, moja anazugia nayo Zanzbar moja Dar. Ana zinga la TAKO. View attachment 3385842
Shilole ni mpambanaji, usimlinganishe na hao waonesha matako instagram! Imagine, from Igunga akiwa miss nobody hadi Bongo Movie ambako mapema akashitukia hamna kitu zaidi ya kuuza nyago, hadi kwenye muziko ambao nao akaona una muda wake, na hatimae kuhamia kwenye mama lishe! Ukiona KE anakuwa na Viben 10 anavyoweza kuvitandika hadi makofi, na anaviweka wazi, huyo ni mtu wa hustles zake!Kama shilole 😃😃