Ukweli Mchungu: Hakuna kundi la vijana hapa bongo linaloongoza kufurahia maisha kama mabinti wenye makalio makubwa

Ukweli Mchungu: Hakuna kundi la vijana hapa bongo linaloongoza kufurahia maisha kama mabinti wenye makalio makubwa

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mie siku hizi napenda za bure na za elfu tano tu.. mtaani zipo mkuu sio za kuagiza
๐Ÿ˜„ ๐Ÿ˜„ ๐Ÿ˜„ hizo zina foleni kinomanoma,ila zinaokoa uchumi.
 
๐Ÿ˜„ ๐Ÿ˜„ ๐Ÿ˜„ hizo zina foleni kinomanoma,ila zinaokoa uchumi.
Bora kuokoa uchumi mkuu . Foleni lipo tu kaka.. toka nimegundua za elfu 5 na sita hazina tofauti na laki na usheee.. nimebaki huku huku uswekeni nacheza vumbi na vibeki tatu vingine Bure kabisa, alafu havija haribika sana , kama Yale ya Malaki, maana watu WANAO honga Malaki wanafanya unyama sanaaa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Ndio maana mashekhe hawataki reform na katiba mpya mana fursa zinatolewa kwa mtizamo wa mtu na tamaa yake iwe ni tamaa ya madaraka au tamaa ya ngono au upendeleo .

Mifumo isiyo na haki hata vyuoni wasio na makalio watafaulu kwa mbinde sana. Wenye makalio 1st class mpaka Masters halafu anapata ajira serikalini . Tunasema nchi imetushinda tuwape waaeabu na wachina lakini 1achina wenyewe na wahindi na waarabu hawana makalio .

Mashirika binafsi hawataki kabisa kuajiri hao watu wa kuoinua matako kama sifa badala ya taaluma.

Nchi isiyojali uwezo wa kitaaluma na uadilifu matokeo yake ni kuwa na watu wachche wenye fedha nyingi sana amabo muda wao mwingi wanawaza starehe wakati mabilionea kama Bahressa anawaza kukuza makampuni yake na uzalishaji wa kiwango cha juu .
Kwa sababu ya kupenda starehe ndio maana hata Watawala wanatumia fedha nyingi za nchi kulipa Wasanii badala ya kuzitumia kwa kuanzaisha viwanda vidogo ili kutoa ajita kwa wasomi . Wanawanufaisha wasanii ambao hawana tija yoyote katika kuzulisha xaidi ya kuzalisha mashoga na malaya wa kukatika viuno majukwaani . Wasanii watakuwepo lakni wapate fedha wao wenyewe sio kwa fedha za serikali kwa manufaa ya Watu wachache
Hujui usemalo hao mademu wasio na makalio ushawakuta hovyo hovyo kwenye supp au kutegemea hela ya mwanaume,


Alafu wanawake wasio na mvuto sana huwa wanasoma sana na kugonga GPA Za juu wewe hujui nenda muhimbili pale, au vitivo vya mainjinia wanawake wote sura pesono
 
Hujui usemalo hao mademu wasio na makalio ushawakuta hovyo hovyo kwenye supp au kutegemea hela ya mwanaume,


Alafu wanawake wasio na mvuto sana huwa wanasoma sana na kugonga GPA Za juu wewe hujui nenda muhimbili pale, au vitivo vya mainjinia wanawake wote sura pesono


Labda sikufafanua vizuri lakini na maanisha kuwa wenye makalio ndio wanaosababisha hata huduma za jamiii kwenye taasisi za umma zinakua mbovu sana.

Ndio maana nikasema wenye makalio vyuo vikuu wanafaulu bwerere na pass za juu lakini wasio na makalio wanafaulu kwa mbinde yaani kwa juhudi zao na akili zao . Ndio maana hata wazungu wengi wanaokuja kufanya tafiti wakojifanya watalii ni wale slim mana vichwani ni akili kubwa .

Tukiwa na mifumo miziru ya kisheria hata ajira za umma zutapatikana kwa wale wasio na makalio hasa teuzi na wasaidizi wa ofisi.

Hawa wenye makalio walitakiwa wapate ushindani wa kweli kwenye motihani na ajira ili wabaki kuwa mama wa nyumbani kuwaburudisha mashekhe ubwabwa kama kipoozeo . Mmmmh, nakhaaam shekhe.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kana mwili mzuri na rangi nzuri. Kakijitambua kakajitunza. Itakuwa [emoji91][emoji91][emoji91] Ila jamani kwenda hizo sehemu hawezi kuwa anafanya kazi, biashara au ana jamaa yake anayemuhudumia?
Yaan hapa TZ imefika hatua, mtu usiende sehemu ya starehe au loc kalii, utapata maneno ya shombo kutoka kwa waja hadi ushangae. Lol
 
1751121492144.jpeg
 
dah mkuu unaishi nchi gani? Ni mchaga kabisa yupo hapa DSM. Mbona mda mrefu sana anakamata hapa town, alipokea kijiti kwa marehemu Masogange mpaka hii leo peak yake haijesha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom