Ukweli Mchungu: Hakuna kundi la vijana hapa bongo linaloongoza kufurahia maisha kama mabinti wenye makalio makubwa

Ukweli Mchungu: Hakuna kundi la vijana hapa bongo linaloongoza kufurahia maisha kama mabinti wenye makalio makubwa

View attachment 3385636

Wengine picha zetu za before and after bado mbavu zimekakamaa njaa tupu🤣 ila hawa tipwa tipwa kamechipukia juzi kana 21yrs old ila ghafla unaona kanapiga picha mara kapo ngoro ngoro mara dubai, mwaka kesho kana duka la nguo hapo sinza.
siku hizi ni rahisi kuwa na kalio, wahi mloganzila uache kutamani ya wenzio, nawe ufurahie nyash yako mkuu.
cocastic
una nyongeza
 
Wanatumika sana maana wanataka matajiri kwani ni watumwa wa fedha kuna wengine wamepoteza bikira zote na majamaa wanapiga na kuacha, huwaga wanajisifia simu kali,nyumba kali ya kupangishiwa,pamba kali ila kuolewa hawa olewi. Wanajipaga moyo wanaume wanawaogopa/hawajiamini,kumbe wanawachora tu.

Destination ya mademu wakali huwaga inafanana, angalia Wolper,Uwoya, Wema, Kajala nk ,wengi huishia kutangatanga na masponsor mpaka kufikia kuchukuliana wanaume,mpaka uzee wao ngumu kumpata mwanaume ambaye atakaye jicommit kuwa nae kama mkewe. Ila hizi luxury wanapewa sana, ila baadae wamba wanapiga chini wanarudi kwa wake zao ambao wa kawaida.

Wanawapanikisha sana mabinti wadogo walio chuo,mtaani na wapambanaji wajione wamechelewa, kumbe wenzao wanajiuza japo siku hizi umalaya wameupimp wameupa jina udangaji, sema ndio hivi mabinti hawajifunzagi yule Nicole,anajisifia anahela kumbe za upatu mara aseme begi kununua dola elfu 3,mara kiatu dollar elfu 1 nk, maigizo igizo mengi.Wanatabia za kimalaya ndio maana hawaoni tabu kushare wanaume matajiri na kuchukuliana wanaume. Huwaga nawambia mabinti hasa wadogo zangu wasiyatamani maisha ya maslay queens na hawa wanao anika matako mitandaoni kwani wanatumika sana kingono.
Wolper kaolewa kwa ndoa takatifu ya kanisani. Mtoe hapo.
 
siku hizi ni rahisi kuwa na kalio, wahi mloganzila uache kutamani ya wenzio, nawe ufurahie nyash yako mkuu.
cocastic
una nyongeza
Kuhusu makalio mbna simple sana siku hizi, mloganzira hapo case kwishaaa.

Waringe wale waliozaliwa nayoo. Lol
 
Dunia Haina usawa unaweza kuwa na hy nyash kama hauna connection na sisi wahuni tulio manipulate mifumo utaishia sinza
 
Usidsnganyike, slayqueen wengi kama sio wote, hao wanaotikisa makalio mtandaoni hawana maisha ya kifahari kama ambavyo wanataka kuiaminisha jamii..

Slayqueen wengi wapo broke, ambao Wana hela wengi wanatumia njia za kichawi kuteka wanaume matajiri wawahonge.. dos.2020

wapo broke wakati wanakula maisha? Ni kweli huwa na kawaida ya kuyumba mara kwa mara sababu ya maisha yao yapo overspending, ila kwa hela tu wanazikamata vilivo kabisa.
 
Unajua KAPITIA AU ANAPITIA mangapi mpaka hapo unapomuona?
Wadada wengi wanajiuza sana na wanaendelea kujiuza sana,halafu wanaweka biashara zile halali huku wanaendelea kujiuza.Hapo Bongo utakutana na akina Mobeto,Aunt Ezekiel naxwengine wengi.

mkuu ao wote ni maduka, hela yako tu.
 
Wolper kaolewa kwa ndoa takatifu ya kanisani. Mtoe hapo.
Hamna kitu kitu.Bado wakina Sancho,Tuerny, yule demu wa kwenye wimbo wa Rayvanny wa kwanza kamechoka yaani unawaona kabisa, wakina Kidoa alijilengesha kwa Samata,Samata kamkwepa,siku hizi anazidi kutuanikia mtako na shanga kiunoni.

Bado kuna wadada zile pisi kali hasa kwenye taasisi hizi za mabank, unakuta na pisi kali imenyooka, inatamani ndoa ila anaogopa sponsor atamuacha hapo tayari kishazalishwa na mara nyingi wao ndio huwaweka kwenye hizo nafasi.Halafu kijana ukijitia machachali kujifanya unajua kutongoza ugali wako unaweza ingia matatani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom