Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Kwa maisha ya sasa hivi ya kataa ndoa ni heri mwanamke ukose akili kuliko kukosa matter core na hipsi za kuhifadhia joto ili uweze kuishi bila kashikashi za ugumu wa maisha.View attachment 3385636
Wengine picha zetu za before and after bado mbavu zimekakamaa njaa tupu𤣠ila hawa tipwa tipwa kamechipukia juzi kana 21yrs old ila ghafla unaona kanapiga picha mara kapo ngoro ngoro mara dubai, mwaka kesho kana duka la nguo hapo sinza.