Ukweli Mchungu: Hakuna mtu anayefurahi sasa hivi kama Rais Samia ( Ana raha kweli)

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Kwa kifupi No Reform No Election haina madhara yoyote kwake

1. Akiikubali na kufanya Reform anakuwa Rais wa Kipindi cha Mpito cha Miaka 3 na kwa kuwa sifa zote atapata yeye kwa kukubali Reforms ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi utakapofanyika na kuwa Rais tena kwa kipindi cha Miaka 5 mingine. Hivyo atakuwa Rais pekee wa Tanzania kuhudumu miaka 12/13 Madarakani.

2. Akiikataa pamoja na nchi kuingia kwenye machafuko na kunyimwa misaada na mikopo ataendelea kuwa madarakani kwa miaka mingine 5 kutokana na kuwepo kwa Tume dhalimu inayofanya kazi za CCM.

Mwisho!
Samia akiamua kukubali No Reform No Election na kuhairisha uchaguzi pamoja na kumfaidisha yeye binafsi, italifaidisha Taifa zima maana Reforms zikifanyika nchi yetu itakuwa na Katiba nzuri na bora itakayohakikisha Wananchi wanapata Viongozi wanaowajibika kweli kwao kwa maendeleo yao.
 
Ukiona CCM wanakubali ushauri wa chama cha upinzani
TAFAKARI KWA MAKINI
Ushauri kuhusu No Reform No Election ni mzuri na utawapa sifa kubwa zaidi CCM na Samia na watakumbukwa katika historia yote ya Tanzania hadi mwisho wa dunia. Ni vizuri wakaukubali tukaijenga nchi yetu upya.
 
No reform no election vita bado mbichi lolote linaweza tokea!!!👿
 
Kwa kifupi No Reform No Election haina madhara yoyote kwake

1. Akiikubali na kufanya Reform anakuwa Rais wa Kipindi cha Mpito cha Miaka 3 na kwa kuwa sifa zote atapata yeye kwa kukubali Reforms ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi utakapofanyika na kuwa Rais tena kwa kipindi cha Miaka 5 mingine. Hivyo atakuwa Rais pekee wa Tanzania kuhudumu miaka 12/13 Madarakani.

2. Akiikataa pamoja na nchi kuingia kwenye machafuko na kunyimwa misaada na mikopo ataendelea kuwa madarakani kwa miaka mingine 5 kutokana na kuwepo kwa Tume dhalimu inayofanya kazi za CCM.

Mwisho!
Samia akiamua kukubali No Reform No Election na kuhairisha uchaguzi pamoja na kumfaidisha yeye binafsi, italifaidisha Taifa zima maana Reforms zikifanyika nchi yetu itakuwa na Katiba nzuri na bora itakayohakikisha Wananchi wanapata Viongozi wanaowajibika kweli kwao kwa maendeleo yao.
Lakini wewe una matatizo si bure
 
Ushauri kuhusu No Reform No Election ni mzuri na utawapa sifa kubwa zaidi CCM na Samia na watakumbukwa katika historia yote ya Tanzania hadi mwisho wa dunia. Ni vizuri wakaukubali tukaijenga nchi yetu upya.
usisahau akikubali No Reforms No Elections ataweza pia kuwa candidate na pengine kushinda zawadi ya Mo Ibrahim! USD 5M
 
Kwa kifupi No Reform No Election haina madhara yoyote kwake

1. Akiikubali na kufanya Reform anakuwa Rais wa Kipindi cha Mpito cha Miaka 3 na kwa kuwa sifa zote atapata yeye kwa kukubali Reforms ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi utakapofanyika na kuwa Rais tena kwa kipindi cha Miaka 5 mingine. Hivyo atakuwa Rais pekee wa Tanzania kuhudumu miaka 12/13 Madarakani.

2. Akiikataa pamoja na nchi kuingia kwenye machafuko na kunyimwa misaada na mikopo ataendelea kuwa madarakani kwa miaka mingine 5 kutokana na kuwepo kwa Tume dhalimu inayofanya kazi za CCM.

Mwisho!
Samia akiamua kukubali No Reform No Election na kuhairisha uchaguzi pamoja na kumfaidisha yeye binafsi, italifaidisha Taifa zima maana Reforms zikifanyika nchi yetu itakuwa na Katiba nzuri na bora itakayohakikisha Wananchi wanapata Viongozi wanaowajibika kweli kwao kwa maendeleo yao.

View: https://www.instagram.com/p/DIBMHZmgmUV/?igsh=OTByM3UzbDQ4aDFz
 
Ushaaanza kuandika ujinga ujinga km Mayor Quimby
 
Umeshiba makande sasa umeanza kujamba tu, hata akili haipo kichwani
 
Ushauri kuhusu No Reform No Election ni mzuri na utawapa sifa kubwa zaidi CCM na Samia na watakumbukwa katika historia yote ya Tanzania hadi mwisho wa dunia. Ni vizuri wakaukubali tukaijenga nchi yetu upya.
Amini usiamini, reforms zinazohitajika ni poison pill kwa CCM. Bila shurti, that ain’t happening!
 
Kwa kifupi No Reform No Election haina madhara yoyote kwake

1. Akiikubali na kufanya Reform anakuwa Rais wa Kipindi cha Mpito cha Miaka 3 na kwa kuwa sifa zote atapata yeye kwa kukubali Reforms ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi utakapofanyika na kuwa Rais tena kwa kipindi cha Miaka 5 mingine. Hivyo atakuwa Rais pekee wa Tanzania kuhudumu miaka 12/13 Madarakani.

2. Akiikataa pamoja na nchi kuingia kwenye machafuko na kunyimwa misaada na mikopo ataendelea kuwa madarakani kwa miaka mingine 5 kutokana na kuwepo kwa Tume dhalimu inayofanya kazi za CCM.

Mwisho!
Samia akiamua kukubali No Reform No Election na kuhairisha uchaguzi pamoja na kumfaidisha yeye binafsi, italifaidisha Taifa zima maana Reforms zikifanyika nchi yetu itakuwa na Katiba nzuri na bora itakayohakikisha Wananchi wanapata Viongozi wanaowajibika kweli kwao kwa maendeleo yao.
mie nahisi kuna mtu kacheza 4D chess hapa maana kwa nguvu ya kawaida ilikua ni ngumu sana mbowe kushindwa. Ila tusiongee sana maana muda utaongea.
 
Back
Top Bottom