Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Ushauri kuhusu No Reform No Election ni mzuri na utawapa sifa kubwa zaidi CCM na Samia na watakumbukwa katika historia yote ya Tanzania hadi mwisho wa dunia. Ni vizuri wakaukubali tukaijenga nchi yetu upya.Ukiona CCM wanakubali ushauri wa chama cha upinzani
TAFAKARI KWA MAKINI
Lakini wewe una matatizo si bureKwa kifupi No Reform No Election haina madhara yoyote kwake
1. Akiikubali na kufanya Reform anakuwa Rais wa Kipindi cha Mpito cha Miaka 3 na kwa kuwa sifa zote atapata yeye kwa kukubali Reforms ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi utakapofanyika na kuwa Rais tena kwa kipindi cha Miaka 5 mingine. Hivyo atakuwa Rais pekee wa Tanzania kuhudumu miaka 12/13 Madarakani.
2. Akiikataa pamoja na nchi kuingia kwenye machafuko na kunyimwa misaada na mikopo ataendelea kuwa madarakani kwa miaka mingine 5 kutokana na kuwepo kwa Tume dhalimu inayofanya kazi za CCM.
Mwisho!
Samia akiamua kukubali No Reform No Election na kuhairisha uchaguzi pamoja na kumfaidisha yeye binafsi, italifaidisha Taifa zima maana Reforms zikifanyika nchi yetu itakuwa na Katiba nzuri na bora itakayohakikisha Wananchi wanapata Viongozi wanaowajibika kweli kwao kwa maendeleo yao.
Watakuwa ni wapuuzi kupokea ushauri wa kijinga namna hiyoUkiona CCM wanakubali ushauri wa chama cha upinzani
TAFAKARI KWA MAKINI
Naona una umia sana?Lakini wewe una matatizo si bure
usisahau akikubali No Reforms No Elections ataweza pia kuwa candidate na pengine kushinda zawadi ya Mo Ibrahim! USD 5MUshauri kuhusu No Reform No Election ni mzuri na utawapa sifa kubwa zaidi CCM na Samia na watakumbukwa katika historia yote ya Tanzania hadi mwisho wa dunia. Ni vizuri wakaukubali tukaijenga nchi yetu upya.
Naumia kwa kuwa nyuzi zako hazina uhalisia wowote. Unapoteza muda tu kwa kuongea utopiaNaona una umia sana?
Kama kuna nzuri bora humu jukwaani. Za kwangu ni sehemu ya hizo nyuziNaumia kwa kuwa nyuzi zako hazina uhalisia wowote. Unapoteza muda tu kwa kuongea utopia
Kwa kifupi No Reform No Election haina madhara yoyote kwake
1. Akiikubali na kufanya Reform anakuwa Rais wa Kipindi cha Mpito cha Miaka 3 na kwa kuwa sifa zote atapata yeye kwa kukubali Reforms ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi utakapofanyika na kuwa Rais tena kwa kipindi cha Miaka 5 mingine. Hivyo atakuwa Rais pekee wa Tanzania kuhudumu miaka 12/13 Madarakani.
2. Akiikataa pamoja na nchi kuingia kwenye machafuko na kunyimwa misaada na mikopo ataendelea kuwa madarakani kwa miaka mingine 5 kutokana na kuwepo kwa Tume dhalimu inayofanya kazi za CCM.
Mwisho!
Samia akiamua kukubali No Reform No Election na kuhairisha uchaguzi pamoja na kumfaidisha yeye binafsi, italifaidisha Taifa zima maana Reforms zikifanyika nchi yetu itakuwa na Katiba nzuri na bora itakayohakikisha Wananchi wanapata Viongozi wanaowajibika kweli kwao kwa maendeleo yao.
Ushaaanza kuandika ujinga ujinga km Mayor QuimbyKwa kifupi No Reform No Election haina madhara yoyote kwake
1. Akiikubali na kufanya Reform anakuwa Rais wa Kipindi cha Mpito cha Miaka 3 na kwa kuwa sifa zote atapata yeye kwa kukubali Reforms ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi utakapofanyika na kuwa Rais tena kwa kipindi cha Miaka 5 mingine. Hivyo atakuwa Rais pekee wa Tanzania kuhudumu miaka 12/13 Madarakani.
2. Akiikataa pamoja na nchi kuingia kwenye machafuko na kunyimwa misaada na mikopo ataendelea kuwa madarakani kwa miaka mingine 5 kutokana na kuwepo kwa Tume dhalimu inayofanya kazi za CCM.
Mwisho!
Samia akiamua kukubali No Reform No Election na kuhairisha uchaguzi pamoja na kumfaidisha yeye binafsi, italifaidisha Taifa zima maana Reforms zikifanyika nchi yetu itakuwa na Katiba nzuri na bora itakayohakikisha Wananchi wanapata Viongozi wanaowajibika kweli kwao kwa maendeleo yao.
Kama hutumii akili. Inaweza kukuchukua miaka 100 kuelewa mantiki ya uzi wangu.Ushaaanza kuandika ujinga ujinga km Mayor Quimby
Amini usiamini, reforms zinazohitajika ni poison pill kwa CCM. Bila shurti, that ain’t happening!Ushauri kuhusu No Reform No Election ni mzuri na utawapa sifa kubwa zaidi CCM na Samia na watakumbukwa katika historia yote ya Tanzania hadi mwisho wa dunia. Ni vizuri wakaukubali tukaijenga nchi yetu upya.
mie nahisi kuna mtu kacheza 4D chess hapa maana kwa nguvu ya kawaida ilikua ni ngumu sana mbowe kushindwa. Ila tusiongee sana maana muda utaongea.Kwa kifupi No Reform No Election haina madhara yoyote kwake