jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 2,524
- 10,287
Juzi nilipita kwa jamaa yangu ni bachela umri anazaidi ya miaka 35 ila nilichokiona ndani mwake nikama anaishi dampo.
Yaani amepanga chumba na sebule lakini ukiingia ndani hujui chumba ni kipi na sebule ni ipi vitu vimetapakaa chupa za bia makopo ya double kick enegy nguo ziko kwenye kochi, vyombo vimechafuka balaa mabaki ya maandazi ugali.
Kuna umri ukifika ni aibu baba mzima tena unakuta na kipara kabisa kimejitokeza kuinama unaosha vyombo, kupiga deki ,kusugua sufuria, kukata kata nyanya etc
Jamani vijana wenzangu tusilazimishe ubachela kama hatuwezi gharama zake, yaani asilimia kubwa ya mabachela ukiwashitukiza wanapokaa wengi utakuta wanaishi kwenye vyumba kama jalalani hata kufua shuka tu na boksa hawawezi, wengine hata kitanda wahatandiki.
Lakini hawa hawa mabachela wengi wao kila ijumaa na jmosi utawakuta wako club wanamwagilia moyo, kununua wanawake na kucheza kamari.
Kama maisha ya ubachela huyawezi usijizalilishe waachie vijana wanao yaweza Wanaoweza kulipia gharama za kufanyiwa usafi, kupikiwa kuishi maisha bora huku wakiendelea na shughuli zao za utafutaji kama kawaida.
Sasa mtu unafikisha hadi miaka 40 uko bachelor huna mtoto huna pesa huna mali ya maana unategemea utakuja upate mwanamke wa maana wa kuishi nae wakati uzee umeshakuingia au unatakakuja kutafutia watu lawama?
Kuna vijana wanajimudu kimaisha halafu wana Mali hata wakikaa bachela kwa it's OK sasa wewe pangu pakavu.
Moja ya faida ya kuishi na mwanamke anaejielewa ni dawa ya kuondoa uvivu kwa mwanaume yaani utatoka tu ukatafute upambane ulete msosi mezani, gambe, kamari, Malaya utapunguza na ndio itakuwa chanzo cha maendeleo yako binafsi na ya familia.