Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

Nadhani usafi au uchafu wa mtu ni hulka ya muhusika mmoja mmoja. Yawezekana mtu kama huyo hata angekua na wife bado kila kitu angefanyiwa kwa sababu yeye mwenyewe hawezi kujiendesha. Navyojua mimi kuwa bachelor ni gharama kwa hiyo kama hujiwezi bora uache uoe kabisa. Inawezekana huyo jamaa yako hajui hilo ndio maana unaona ivyo
 
Natamani sana kama maisha yangekuwa yanakuja na handbook yenye kanuni za jumla za kufuata; na zikafuatika! Yangekuwa rahisi sana yaani!

Kwa maisha ya sasa vijana wengi tu watakuwa wanaigusa 40 kabla hawajaoa wala kuolewa (japo wanaweza kuwa na watoto!). Nadhani tunakoelekea tutakuwa kama nchi za Kimagharibi ambako ndoa itakua siyo jambo la lazima kivile; na mtu ataishi vile anavyotaka bila kubughudhiwa na mtu wala hizi presha za kijamii.

Ati; ndoa (bado) ni lazima? 🖐🚶🏿‍♂️
 
Leo nimeamini ID za JF sio poa,inawezekana analyse na Lamomy ni ID Moja,haiwezekani ID inaitwa mchumba ukiigusa inafungua ephen_ 😇😇😢
Huyo Lamomy ganzi sana, na kama sijamroga huu mwaka sio Mimi. Kila chaka ninalotaka kukaa, lazima akaeneze upupu. Kuniharibia kwa Missy Gf , now ananichafua kwa mchumba 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom