king kakaa
Member
- Sep 26, 2018
- 25
- 79
Mimi Binafsi kabla ya kesi ya Mbowe nilikua sikuwahi kuwafatilia kiundani Mawakili wale wa Mbowe ila baada ya kuanza kuwatetea akina Mbowe ndipo nilipo anza kuvutiwa na kuwafatilia.
Kila nilipo kuwa naingia JF kufatilia live kesi ile basi nilikua naanza kusoma pale mawakili wa upande wa utetezi unapo anzia nikawa navutiwa sana na aina yao ya maswali namna wanavyo hoji na kujiamini kwao.
Pia nilivutiwa zaidi na Kibatala pale alipo kuwa akiwahoji maafisa wa polisi na jeshi kwa kujiamini na kuwajaza uwoga mpaka kupelekea Maafisa wale ku kengeuka na kujawa na hofu.
Pia kesi ile ilikua kama Somo kwa wa Tanzania wengi tuligundua mambo mengi mbali na kuvutiwa pia tulijifunza vitu vingi kama PGO nk
Nilivutiwa na mambo mengi pamoja na kustaajabu uwezo mkubwa wa Kibatala alikua anajua kila aina ya mambo ambayo mashahidi wameyaleta akawa anayatolea ufafanuzi bila kubabaika mfano nilivutiwa zaidi pale morning kwenye ushahidi wa mambo ya IT.
Kuna siku nilikua safarini naenda sehem nikakuta mjadala ndani ya usafiri kuhusu hao mawakili kila mmoja alikua anawasifia upande wake kwangu haikua kazi ngum kujumuika katika kuwasifia na kupata nisio ya jua zaidi.
Kama watasoma uzi huu
1KIBATALA
2 MALYA
3NASHON
4
Nawengineo kidogo nime wasahau napenda kuwaambia nyie ni alama ya sheria kw Africa Mashariki