Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha ilikuwa burudani sanaShahidi: Bwana Kibatala hilo siwezi kujibu
Kibatala: Huwezi kujibu kwa sababu hujui au hutaki? Kama hutaki nitamwambia jaji akulazimishe ujibu
Shahidi: Rudia swali ili nijibu.
Sehemu kama hizi ilikuwa burudani na elimu.
Sehemu nyingine pale shahidi anapigwa maswali hadi anaomba kwenda chooni.
Jaji anamwambia nenda lakini urudi. Pale kizimbani sio mchezo.
Unauhakika?Kwa usajili upi huo wa Tanganyika Law society? Hujui kupractice sheria hata hapo Zanzibar tu unatakiwa uwe na usajili wa chama cha wanasheria wa Zanzibar
Kibatala hata hapo Zanzibar tu hawezi mtetea hata kibaka sababu hana usajili.
Usajili wake hana wa nchi hizo huyo jojo.lske akilivaa mwisho wake Tanganyika havuki hata Zanzibar huyo
Kesi iliyopelekea kutengua ushindi wa Kenyatta 2017 jopo la mawakili wa Odinga lilikuwa chini ya Orengo. Ni kesi iliyoiweka Kenya kuwa nchi ya 3 duniani kwa mahakama kutengua matokeo ya urais. Sidhani kama utailinganisha na hii ya mchongo. Jopo la Uhuru lilikuwa chini ya mawakili nguli kama Prof. Lumumba,Alfred Ngatia nk. Kwa Seneta Orengo kupenya miongoni mwa hao kwa hoja haikuwa kazi nyepesi. Unaweza kuifuatilia you tube uone wenzetu eanavyoingea lugha ya malikia kwenye chemba za mahakama kwa umahiri kabisa.
Kwani kibatala ukiacha vikesi vya ufipa ana maajabu gani?Kambore mwanasheria wa kupigiwa simu cloud fm kutaka ufafanuzi nje ya hapo sidhani
Kwani kibatala ukiacha vikesi vya ufipa ana maajabu gani?
Kipindi akina mdee,mbowe, msigwa,matiko,bulaya nk wanafungwa ukonga huyu kibatala si ndo alikuwa wakili wao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Urio?Shahidi: Bwana Kibatala hilo siwezi kujibu
Kibatala: Huwezi kujibu kwa sababu hujui au hutaki? Kama hutaki nitamwambia jaji akulazimishe ujibu
Shahidi: Rudia swali ili nijibu.
Sehemu kama hizi ilikuwa burudani na elimu.
Sehemu nyingine pale shahidi anapigwa maswali hadi anaomba kwenda chooni.
Jaji anamwambia nenda lakini urudi. Pale kizimbani sio mchezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]The undisputed Law Moguls, achana nao kabisa hao watu Luten Urio alijikuta anaichekea tu kizimbani bila hata kuchekeshwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibatala: unafahamu maana ya terrorism
Shahidi: Ni mambo ya utalii.
Fikiria shahidi kachemka swali kama hili, akifika nyumbani si ataenda kulala moja kwa moja!