Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Babu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni.

Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere.

Mtoto mtu akawa Rais, na bado ana ushawishi.

Mke wake ni mbunge.

Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana.

Bado ana watoto wengine wanakua, wengine ni madaktari wengine marubani nk. Ridhwani angeweza kufanya kazi BOT au State Atorneys Office ila akaamua kuingia kwenye siasa ili atutawale.

Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja, Kikwete Family, Makamba Family, Nnauye Family, Kinana Family chini ya master mind Rostam Aziz bila kusahau familia ya mzee Mwinyi. Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers.

Bila Mzee Nnauye, Makamba angekuwa anauza mapeasi Lushoto, January Makamba angekuwa anaendesha Fuso.

Bila JK, Nape angekuwa anaendesha bodaboda.

Bila mzee Ruksa JK angekuwa analima mananasi Bagamoyo

Hii ni Family moja tusipoteze muda kushindana nayo bali tuishi nao kwa akili.

Kwani we hupendi asali

Basi tulia ulambe asali kimyakimya
 
Kujituma. Ronaldo alimwambia Baba yake sisi siku moja tutakuwa matajiri. Messi alikuwa na matatizo ya hormones za kukua Barcelona wakatazama kipaji chake akiwa bado mtoto mdogo.
Kwa hiyo ishu ya kusomesha watoto haina mantiki hata haoa bongo diamond,fei toto hawakusoma .mafanikio ni yana njia nyingi plus bahati
 
Back
Top Bottom