Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Unamaana pamoja na kashfa zilizomkabili Junior bado unasema hayo au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusoma sio kutawala au kuwa tajiri!! Kusoma ni kunikutanua akili, utajiri na kuwa mbunge waziri Rais hiyo ni habari nyingine baba unaweza soma sana ukafa bila kusogelea jengo la bungeMkuu somesha watoto na wajukuu acha kulalama na kulia wivu, ndio suluhisho la kumkomboa mtu kutoka katika umaskini.
Tena tangia ukoloni wako bieeNyerere kakuta family ya akina Jk iko njema
Ukweli gani mchungu hapo? Kikwete ameweza ku-maintain wengine wameshindwa. Babake alikuwa chief wa Bagamoyo. Machief walikuwa wengi uongozi ni kipawa ndgBabu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye sweikali ya kikoloni.
Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere.
Mtoto mtu akawa Rais,na bado ana ushawishi.
Mke wake ni mbunge.
Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana.
Bado anawatoto wengine wanakua ,wengine ni madaktari wengine marubani nk.
Ridhwani angeweza kufanya kazi BOT au State Atorneys Office ila akaamua kuongia kwenye siasa ili atutawale.
Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja,Kikwete Family,Makamba Family,Nnauye Family,Kinana Family,chini ya master mind Rostam Aziz.
Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers
Bila Mzee Nnauye Makamba angekuwa anauza mapeasi Lushoto,January Makamba angekuwa anaendesha Fuso.
Bila JK ,Nape angekuwa anaendesha bodaboda.
Hii ni Family moja tusipoteze muda kushindana nayo bali tuishi nao kwa akili .
Kwani we hupendi asali
Kusoma sio kuwa tajiri au kuwa rais utajiri na urais ni kipaji kama vingine je ujawai kuona alie feli anamuaniri alie fauru?Unasomesha alafu hawapati ajira wanaxurula mtaani
Somesha lakini usitegemeee mtoto wako kuwa tajiri au kuwa mbunge, Rais, waziri, mkuu wa mkoa, wilaya utajiri ni kipaji sio kusomaKwa hiyo ishu ya kusomesha watoto haina mantiki hata haoa bongo diamond,fei toto hawakusoma .mafanikio ni yana njia nyingi plus bahati
Mwambie huyo Magufuli hakuwa na kipaji cha uongoziUkweli gani mchungu hapo? Kikwete ameweza ku-maintain wengine wameshindwa. Babake alikuwa chief wa Bagamoyo. Machief walikuwa wengi uongozi ni kipawa ndg
That's way,watu kama hao huwa wanahakikisha mtawala always awe upande wao.Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho, utawala wao utapotezwa na mtawala mwenzao, kwasababu huwa wanaibuka pale mtawala akiwa rafiki yao kama ilivyo sasa, na kufifia mtawala asipokuwa karibu nao.
Miaka ishirini iliyopita hao wote hawakuwa wakijulikana,succession plan yao iko vizuri,kuna wengine wataandaliwa au wataextend familia yao kwa kusajili familia nyingine.na wameshaanza,Samia Mchengerwa,mwinyi familyUkimtoa ridhiwani
Nape
Makamba
Hakuna atayekuja kuwa kutoka hizo familia
KabisaElimu bila bahati na connection bora unyimwe elimu upewe kipaji
Huo ni uoga wako tu,mtoto mmoja wa kikwete kuwa mwanasiasa haimaanishi ndo kututawala milele,ni kawaida mtoto kuvutiwa na kazi ya babaake.wakina George bush au Akina Adam Jones kuwa Marais wa marekani baba na mtoto sio kwamba ndo kuitawala Marekani milele.clinton na mkewe hawajaitawala USA milele.Hata mwinyi na mwanae vipindi vyao vitapita watakuja wengine.Kusema watoto wengine ni marubani,madaktari etc ni fikra potofu kwanza Kuna familia nyingi za kawaida zenye watu wenye hzo professional sembuse familia ya Rais.Babu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni.