Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

Mkuu somesha watoto na wajukuu acha kulalama na kulia wivu, ndio suluhisho la kumkomboa mtu kutoka katika umaskini.
Mkuu tafuta pesa/cheo elimu ipo tu.
Nani alikwambia utajiri wa watanzania unatokana na elimu?
Watu wana phd kutokana na pesa zao au vyeo vyao!
Na wengine wametafuta elimu kwa kuteseka na bado wapo mtaani wanaambiwa wajiajiri, serikali haitengezi ajira!
 
Babu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni.

Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere.

Mtoto mtu akawa Rais,na bado ana ushawishi.

Mke wake ni mbunge.

Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana.

Bado anawatoto wengine wanakua, wengine ni madaktari wengine marubani nk. Ridhwani angeweza kufanya kazi BOT au State Atorneys Office ila akaamua kuongia kwenye siasa ili atutawale.

Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja,Kikwete Family,Makamba Family,Nnauye Family,Kinana Family,chini ya master mind Rostam Aziz.bila kusahau familia ya mzee Mwinyi. Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers

Bila Mzee Nnauye Makamba angekuwa anauza mapeasi Lushoto,January Makamba angekuwa anaendesha Fuso.

Bila JK ,Nape angekuwa anaendesha bodaboda.

Bila mzee Ruksa JK angekuwa analima mananasi bagamoyo

Hii ni Family moja tusipoteze muda kushindana nayo bali tuishi nao kwa akili .

Kwani we hupendi asali

Basi tulia ulambe asali kimyakimya
Wewe unatakaje kaka?
 
Back
Top Bottom