Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Aiseeee !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini pia usisahau kila chenye mwanzo na mwisho wake upo. !! Zilikuwepo tawala nyingi za kifalme hapo zamani leo hazipo !! Just a matter of time kila kitu kitabadilika siku moja !! Muhimu ni kutenda mema ukiwa hai !!Silalami wala ila huo ni ukweli mchungu ambao kuna watu hawapendi kuusikia
Ulikuwa kwenye comma nini mwenzetu
Jambo la msingiTafuta pesa vingine vyote utazidishiwa
Wewe unaogopa muungano wa familia tano??Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja,Kikwete Family,Makamba Family,Nnauye Family,Kinana Family,chini ya master mind Rostam Aziz.bila kusahau familia ya mzee Mwinyi. Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers
Mimi nilipo Hitimu chuo,nilienda kujitolea(kufanya kazi bure).baadaye Nikaajiriwa palepale kwa kuwa wananifahamu na uzoefu wamenipa wenyewe.Tatizo vijana wasasa hawataki kujitolea.Unasomesha alafu hawapati ajira wanaxurula mtaani
Wewe unaogopa muungano wa familia tano??
Familia tano ni kitu gani mbele ya watanzania milioni 61?
Tatizo ni kwamba Watanzania wengi hawana akili, lakini, siku wakituliza akili zao vizuri wanaweza kupindua meza na kufanya mabadiliko makubwa.
Kama unayajua yote hayo acha kulialia basi.Mkuu tafuta pesa/cheo elimu ipo tu.
Nani alikwambia utajiri wa watanzania unatokana na elimu?
Watu wana phd kutokana na pesa zao au vyeo vyao!
Na wengine wametafuta elimu kwa kuteseja na bado wapo mtaani wanaambiwa wajiajiri, serikali haitengezi ajira!
Kuamka na kuanza kuisakama familia fulani ni kielelezo cha udhaifu wa mlalamikaji. Kuna mahali anakuwa amekosea ndio maana kwake ni rahisi kunyooshea vidole wengine.Kwa hiyo ishu ya kusomesha watoto haina mantiki hata haoa bongo diamond,fei toto hawakusoma .mafanikio ni yana njia nyingi plus bahati
Mzee Nauye alikufa hana hata kibanda nadhani ilikuwa 2000,Nape chuo kasomeshwa na Makamba na Jk,hata msiba wa mzee Nauye tulikosa sehemu ya kuweka tutubai maana alikuwa anakaa ghorofani flats za NHC,tukaupeleka kwa mzee makamba,Nnauye alikuwa mjamaa kweli hakuwa fisadiFuta kauli ya kusema bila jk kijana nape angekuwa anaendesha boda boda! Mzee Nauye ndo kingpin wa hao wote! Yaani bila Mzee Nauye hao ndo wangekuwa boda boda!
Tafuta hizo connections kuliko kuamka na kuanza kunyooshea kidole familia ya JK kama vile ndio chanzo cha matatizo yako yote.Elimu bila bahati na connection bora unyimwe elimu upewe kipaji
Achana na nongwa zilizopita, kila mtu mwisho wa uhai wake anapata hukumu yake kutokana na namna alivyoishi na watu.Mzee Nauye alikufa hana hata kibanda nadhani ilikuwa 2000,Nape chuo kasomeshwa na Makamba na Jk,hata msiba wa mzee Nauye tulikosa sehemu ya kuweka tutubai maana alikuwa anakaa ghorofani flats za NHC,tukaupeleka kwa mzee makamba
Nadhani hujasoma fasihi au uwezo wako wa kuelewa ni mdogo,ukisoma between the lines utagundua mtoa post ni pro JK hakuna sehemu amemponda bali kuonyesha uwezo wake wa kuongoza na kutawalaKuamka na kuanza kuisakama familia fulani ni kielelezo cha udhaifu wa mlalamikaji. Kuna mahali anakuwa amekosea ndio maana kwake ni rahisi kunyooshea vidole wengine.
Sijakujibu wewe namjibu huyo aliyedhani mzee Nauye kafa kibepari,mimi binafsi namkubali sana mzee Nauye hakuwa fisadiAchana na nongwa zilizopita, kila mtu mwisho wa uhai wake anapata hukumu yake kutokana na namna alivyoishi na watu.
Looooh unachekesha ww 😹😹Tafuta madaraka pesa utazikuta madarakani,