Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

Tunajua yaliyofanyika Srilanka, Tunajua yaliyotokea Marekani, Tunisia, Egypt na hiv karibuni Brazil.

Sidhani kama tumejiandaa.

Na maneno maneno yalikuwa hivi hivi.
I hope Serikali na Jeshi la Polisi kanda hii maalumu(mtandao) wanafuatilia haya na kufanya yanayotakikana. Hao wanaojichekesha chekesha humu wana kazi zao. Sio bure.
 
Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja,Kikwete Family,Makamba Family,Nnauye Family,Kinana Family,chini ya master mind Rostam Aziz.bila kusahau familia ya mzee Mwinyi. Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers
Wewe unaogopa muungano wa familia tano??
Familia tano ni kitu gani mbele ya watanzania milioni 61?
Tatizo ni kwamba Watanzania wengi hawana akili, lakini, siku wakituliza akili zao vizuri wanaweza kupindua meza na kufanya mabadiliko makubwa.
 
Mkuu

Acha kuwachongea Sasa!!?

Huoni kwamba unaamsha hasira FULANI Mkuu!?

Unachokisema NDICHO kinachoonekana kwenye macho ya kawaida na mtazamo wa WENGI!!!

Lakini awamu ya tano imenifunza somo ambalo sitosahau Maishani Kwamba:-


JAMUHURI NI TAASISI KUBWA SANA KULIKO:-

-Rais aliepo madarakani

-Ukoo wowote wa kuheshimika

-Genge la watu FULANI

-Familia FULANI.


Mwinyi senior ni kipenzi cha WENGI ndio maana imekua lakini Hawa wengine wametengeneza uadui Sana wamegawa upendo waO KWA watu FULANI DHIDI ya wengine! SIDHANI unachokiwaza kama kitakua!!

Kama we ni msomi mzuri hasa humu JAMVINI utagundua blocks in systems fighting for their own! Na hilo litasaidia Jamhuri kupenya na kufanya MAAMUZI tofauti na matazamio ya WENGI!

Tembelea uzi huu Miaka MIWILI ijayo kama utaona HIKI ulichoandika!

MUNGU ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo Sana
 
Mkuu tafuta pesa/cheo elimu ipo tu.
Nani alikwambia utajiri wa watanzania unatokana na elimu?
Watu wana phd kutokana na pesa zao au vyeo vyao!
Na wengine wametafuta elimu kwa kuteseja na bado wapo mtaani wanaambiwa wajiajiri, serikali haitengezi ajira!
Kama unayajua yote hayo acha kulialia basi.
 
Futa kauli ya kusema bila jk kijana nape angekuwa anaendesha boda boda! Mzee Nauye ndo kingpin wa hao wote! Yaani bila Mzee Nauye hao ndo wangekuwa boda boda!
Mzee Nauye alikufa hana hata kibanda nadhani ilikuwa 2000,Nape chuo kasomeshwa na Makamba na Jk,hata msiba wa mzee Nauye tulikosa sehemu ya kuweka tutubai maana alikuwa anakaa ghorofani flats za NHC,tukaupeleka kwa mzee makamba,Nnauye alikuwa mjamaa kweli hakuwa fisadi
 
Mzee Nauye alikufa hana hata kibanda nadhani ilikuwa 2000,Nape chuo kasomeshwa na Makamba na Jk,hata msiba wa mzee Nauye tulikosa sehemu ya kuweka tutubai maana alikuwa anakaa ghorofani flats za NHC,tukaupeleka kwa mzee makamba
Achana na nongwa zilizopita, kila mtu mwisho wa uhai wake anapata hukumu yake kutokana na namna alivyoishi na watu.
 
Kuamka na kuanza kuisakama familia fulani ni kielelezo cha udhaifu wa mlalamikaji. Kuna mahali anakuwa amekosea ndio maana kwake ni rahisi kunyooshea vidole wengine.
Nadhani hujasoma fasihi au uwezo wako wa kuelewa ni mdogo,ukisoma between the lines utagundua mtoa post ni pro JK hakuna sehemu amemponda bali kuonyesha uwezo wake wa kuongoza na kutawala
 
Back
Top Bottom