Unajua kuna digrii ngapi,zipo mitaani,wazazi wetu walifuata maneno kama yako?
Google maana ya connection,halafu utafakari,japo unaweza ukasoma na usiwe bodaboda au machinga,inategemeana na nyakati.
Kinachowatokea Kennedy family inasemekana ni njama za makusudi za kuhakikisha hakuna descendants wake anayeweza kuwa PROTUS kisha akajua nini kilimfika Kennedy Snr.