Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

JK n familia yake hawajawaondolea watu umaskini?. Mleta mada kaandika uchimvi kwenye andiko lake ingawa wenye akili wamemuelewa anamaanisha nini.

JK kapigana mpaka MOI ikajengwa, haijawaletea matibabu mamilioni ya watanzania wanaupata ajali kila kukicha?.

Kapigana mpaka mwendo kasi ukajengwa, haujaleta mabadiliko katika maisha ya wakazi wa Dar?.

Kila rais ukimsikiliza mtanzania wa kawaida wa mtaani hajafanya lolote, ni mwendo ule ule wa malalamiko.
Mimi binafsi namkumbuka Magufuli

1.ametuprotect against chanjo za corona. Hakika aliwazidi ujanja wazungu.
Mimi nilifurahishwa sana na hili.

Mengine siwezi kumsifia maana alikuwa anatimiza wajibu wake sawa na mimi ninapotimiza wajibu kulipa kodi nakuwa raia mwema.
 
Mimi binafsi namkumbuka Magufuli

1.ametuprotect against chanjo za corona. Hakika aliwazidi ujanja wazungu.
Mimi nilifurahishwa sana na hili.

Mengine siwezi kumsifia maana alikuwa anatimiza wajibu wake sawa na mimi ninapotimiza wajibu kulipa kodi nakuwa raia mwema.

Well technicaly hakutu protect against chanjo. Aliruhusu watumishi walichomwa, viongozi hata yeye mwenyewe baadae alikubali
 
Katiba ikibaki ilivyo kwamba Rais asishitakiwe kwa lolote itakuwa hivyo.

Rais ni binadamu anaweza kukosea kama mtu mwingine Kwanini akipatikana na makosa asishitakiwe?

Mbona Katiba inasema hakuna aliye juu ya sheria?
 
Labda apatikane Rais wa kariba ya Nyerere na JPM ambao watoto wao hawakuwaweka mbele wala kuwatumia kwenye
 
Babu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni.

Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere.

Mtoto mtu akawa Rais, na bado ana ushawishi.

Mke wake ni mbunge.

Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana.

Bado ana watoto wengine wanakua, wengine ni madaktari wengine marubani nk. Ridhwani angeweza kufanya kazi BOT au State Atorneys Office ila akaamua kuingia kwenye siasa ili atutawale.

Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja, Kikwete Family, Makamba Family, Nnauye Family, Kinana Family chini ya master mind Rostam Aziz bila kusahau familia ya mzee Mwinyi. Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers.

Bila Mzee Nnauye, Makamba angekuwa anauza mapeasi Lushoto, January Makamba angekuwa anaendesha Fuso.

Bila JK, Nape angekuwa anaendesha bodaboda.

Bila mzee Ruksa JK angekuwa analima mananasi Bagamoyo

Hii ni Family moja tusipoteze muda kushindana nayo bali tuishi nao kwa akili.

Kwani we hupendi asali

Basi tulia ulambe asali kimyakimya
Tuamke watatutawala sn hawa
 
Back
Top Bottom