BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Mimi nafahamu. Kazi nzuri sana.Unajua lengo langu ni lipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nafahamu. Kazi nzuri sana.Unajua lengo langu ni lipi
Ongeza sauti mkuuKutawala ?!!!
The Coming Generation haitawaliki, kwa ushauri kama unataka kufanya mambo yako vizuri bila bughudha usiingie kwenye Politics kwenye gap kubwa la walionacho na wasionacho unaweza kuchukiwa bila sababu...
Kama uwezo unao fanya mambo yako..., ukidokoa mali ya UMMA unaweza uka-taint ukoo wako na wakawa branded wezi..., vitukuu vyako vikachukiwa na kunyanganywa kilicho chao kwa visingizio babu yao alikuwa jambazi...
We have dangerous times ahead unless walamba asali wafuate msemo wa kujua kula na vipofu....
Hakuna unachojua! Wewe unafkiri yeye angesemaje?! Kwani hakuna taasisi maalum zilizoundwa kuchunguza hayo?! Polisi na vyombo vingine vya ulinzi vina kazi gani?!Aisee raisi anayepotezea na kukaa kimya baadhi ya watu wanauwawa na kupotezwa hiyo sikuikubali kabisa
🤣🤣Bila Mzee Nnauye, Makamba angekuwa anauza mapeasi Lushoto, January Makamba angekuwa anaendesha Fuso.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bila JK, Nape angekuwa anaendesha bodaboda
🤣🤣🤣Bila mzee Ruksa JK angekuwa analima mananasi
Mbona sasahivi hayo matukio hayatokei?Hakuna unachojua! Wewe unafkiri yeye angesemaje?! Kwani hakuna taasisi maalum zilizoundwa kuchunguza hayo?! Polisi na vyombo vingine vya ulinzi vina kazi gani?!
Ulitaka Rais avae gwanda, ajichore majivu na yeye aingie msituni kuwasaka waliopotea?! Na kwann walipotea?!
Unamjua J.F Kennedy wa Marekani?! Unajua sababu ya kufa kwake?! Msiwe tu mnaongea kwa mihemko... hizi ni elimu pana
Lakini ujue rohoni kwa mtu ni mbali sana ! Mtu yeyote unayemwamini sana sana siku moja ghafla anaweza akakugeuka mpaka ukashangaa. !! Hiyo huwa ni mipango ya Mungu !! Leo binti ya Rais mstaafu wa Angola yupo kikaangoni alijipatia mamilioni ya dollar isivyo halali kipindi baba yake yupo madarakani. ! Je huyo Wa sasa si aliaminiwa na Rais mstaafu Do Santos kwamba ni mwenzao ?! Au huyo wa sasa ni wa kutoka chama kingine. ?!Hawatorudia ule ujinga
JK n familia yake hawajawaondolea watu umaskini?. Mleta mada kaandika uchimvi kwenye andiko lake ingawa wenye akili wamemuelewa anamaanisha nini.Kusomesha sio kuelimisha.
Maana ya/lengo la elimu sio kutajirisha.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutoka kwenye umasikini na kuwa tajiri kupindukia.
Viongozi wa Tanzania hawajafika hapo kwa kusoma sana na kuelimika.
Viongozi wa Tanzania hawatumii elimu yao katika kujikomboa kutoka umasikini,bali katika kujilimbikizia utajiri kwa njia zisizo halali.
Lengo la uongozi si kujikomboa kutoka katika umasikini. Lengo la uongozi ni kuwaletea watu maendeleo.
Waulize mamilioni ya watanzania waliokuja Dar kufuata elimu miaka ile ya 1980 na leo hii ni mawaziri na wakurugenzi wa mashirika, watakupa majibu ya uhakika zaidi.Elimu inamuondoaje mtoto wa mkulima, bodaboda, machinga na baamedi toka ktk lindi la umaskini?
Elimu inachangia sana, inakupatia kitu kinachoitwa ushawishi mbele ya jamii. Unakwenda benki unajua umuone nani mambo yake yafanikiwe. Unakwenda wizarani unajua umuone nani mambo yako yanyooke.Kwahiyo issue siyo elimu. Hata ktk utetezi wako hakuna mahala umetaja elimu. Na hapa ndipo kwenye hoja yangu.
Rais waliokuja baada ya Nyerere wamemshinda Nyerere kwa kila kitu; kwa kuleta maendeleo ya kiuchumi na kwa kuzalisha mafisadi.Yule mzee siasa anazijua sana
Rudisha ile avatar yako ya mwanzo.Mimi sitawalwi najitawala aisee wanaotaliwa ni wale waserikalini akija kwangu Nitampa za USO eti anitawale Cha kufanya weeeh
Nani amekwambia?!Mbona sasahivi hayo matukio hayatokei?
Watu wenye asili ya rangi nyeusi tuna shida ya unafiki na uzandiki wa hali ya juu!...JK n familia yake hawajawaondolea watu umaskini?. Mleta mada kaandika uchimvi kwenye andiko lake ingawa wenye akili wamemuelewa anamaanisha nini.
JK kapigana mpaka MOI ikajengwa, haijawaletea matibabu mamilioni ya watanzania wanaupata ajali kila kukicha?.
Kapigana mpaka mwendo kasi ukajengwa, haujaleta mabadiliko katika maisha ya wakazi wa Dar?.
Kila rais ukimsikiliza mtanzania wa kawaida wa mtaani hajafanya lolote, ni mwendo ule ule wa malalamiko.
Siyo ukweli mchungu; mchungu kwa nani? Ni ukweli mtamu.Babu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni.
Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere.
Mtoto mtu akawa Rais,na bado ana ushawishi.
Mke wake ni mbunge.
Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana.
Bado anawatoto wengine wanakua, wengine ni madaktari wengine marubani nk. Ridhwani angeweza kufanya kazi BOT au State Atorneys Office ila akaamua kuongia kwenye siasa ili atutawale.
Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja,Kikwete Family,Makamba Family,Nnauye Family,Kinana Family,chini ya master mind Rostam Aziz.bila kusahau familia ya mzee Mwinyi. Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers
Bila Mzee Nnauye, Makamba angekuwa anauza mapeasi Lushoto, January Makamba angekuwa anaendesha Fuso.
Bila JK, Nape angekuwa anaendesha bodaboda.
Bila mzee Ruksa JK angekuwa analima mananasi Bagamoyo
Hii ni Family moja tusipoteze muda kushindana nayo bali tuishi nao kwa akili .
Kwani we hupendi asali
Basi tulia ulambe asali kimyakimya
Kwa uandishi huu Wana"xu"rula mtaani...acha wazurule tu kama mzazi unaandika hivi wanao waandikaje!!?!Unasomesha alafu hawapati ajira wanaxurula mtaani
Ile ya mkono wa wenye Pete??Rudisha ile avatar yako ya mwanzo.
Hii hainipi mzuka.
Ile ya wowowo xxlIle ya mkono wa wenye Pete??