Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

Angesambaratisha KWA maslahi ya Taifa ingekuwa poa,lakini alianza zile zake zile!!

Kwamba

Nikiondoka kuna mwingine atafanya Haya!!?

Plus ndugu YANGU nkamia ndio akaharibu kabisaa Eti Bunge la Miaka Saba!?

Ndio ndio,

Jamuhuri iheshimiwe na wote,hakuna JINA kubwa kuliko jamuhuri!
Subiri utaelewa Tu ni suala la muda Tu
 
Hamna mkuu

Hao ni sehemu ndogo sana na walitumika KWA kipindi FULANI wakati haiba yao ilihitajika na nguvu zao pia!

Mti hupukutisha majani Ili yaote mapya!

Bunge la 2025 kutakuwa na wapya wengi Sana wakongwe wachache Sana hata hamna kabisa!!

Hao walioshika vitengo toka royal family wanaweza wasishike muda waonukawa Ndio nhuu mama akiwa hatamuni!

Jamuhuri haiwezi endeleza hayo,itaibua vipaji vipya!

Mimi nina imani na jamhuri kuliko taasisi nyingine yeyote hata awamu za Serikali Sina imani nazo maana ni upepo uvumao KWA Muda!

Wao wataondoka na kuwa wankawaida tu na watabaki kula matunda waliyochuma zamani wakati wakiwa kitini!!

Chipukizi tutaingizwa muda Sio mrefu!

We subiri,Mimi najiandaa kuwa mtumishi wa jamuhuri katika level nyingine!
Safi sana 👍 nafurahi nikimuona mtu anajiamini kama wewe ! Wanasemaga As you think so shall you be !! All the best and good luck !!
 
Waliteleza kidogo wakamkabidhi nchi JPM, cha moto walikiona ila hawatakaa wafanye tena kosa walilolifanya kumpa JPM nchi. Ndio maana wanawaandaa watoto wao kwenye nafasi za uwaziri ndio mapresident wajao.
Na mwamba yule angetusua,hizo falme zote angezisambaratisha

Ova
 
Hii si sawa! Sema bila malecela Nape angalikuwa anaendesha Bodaboda
Bila JK, Nape angekuwa anaendesha bodaboda.
Usisahau Nape alinyimwa hata sponsorship katika chuo cha diplomasia wakati JK akiwa ni Waziri wa Foreign Affairs, pale alipoambiwa asigombee uenyekiti wa UVCCM amwachie Nchimbi. Aliyesevu ngoma ni malecella. Ladwa ndiye alitoa fedha. Nape bisha
 
Babu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni.

Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere.

Mtoto mtu akawa Rais,na bado ana ushawishi.

Mke wake ni mbunge.

Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana.

Bado anawatoto wengine wanakua, wengine ni madaktari wengine marubani nk. Ridhwani angeweza kufanya kazi BOT au State Atorneys Office ila akaamua kuongia kwenye siasa ili atutawale.

Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja,Kikwete Family,Makamba Family,Nnauye Family,Kinana Family,chini ya master mind Rostam Aziz.bila kusahau familia ya mzee Mwinyi. Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers

Bila Mzee Nnauye, Makamba angekuwa anauza mapeasi Lushoto, January Makamba angekuwa anaendesha Fuso.

Bila JK, Nape angekuwa anaendesha bodaboda.

Bila mzee Ruksa JK angekuwa analima mananasi Bagamoyo

Hii ni Family moja tusipoteze muda kushindana nayo bali tuishi nao kwa akili .

Kwani we hupendi asali

Basi tulia ulambe asali kimyakimya
Acha nchi iliwe watuachie mifupa na miba tufyonze.
 
Mkuu somesha watoto na wajukuu acha kulalama na kulia wivu, ndio suluhisho la kumkomboa mtu kutoka katika umaskini.
Kusomesha sio kuelimisha.
Maana ya/lengo la elimu sio kutajirisha.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutoka kwenye umasikini na kuwa tajiri kupindukia.
Viongozi wa Tanzania hawajafika hapo kwa kusoma sana na kuelimika.
Viongozi wa Tanzania hawatumii elimu yao katika kujikomboa kutoka umasikini,bali katika kujilimbikizia utajiri kwa njia zisizo halali.
Lengo la uongozi si kujikomboa kutoka katika umasikini. Lengo la uongozi ni kuwaletea watu maendeleo.
 
Back
Top Bottom