Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wakati tuamke na sisiWataingia mikataba ya miaka mingi wajukuu hadi vilembwekuzi wanatakuwa wanatumbua na kufaidika na rasilimali za watanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati tuamke na sisiWataingia mikataba ya miaka mingi wajukuu hadi vilembwekuzi wanatakuwa wanatumbua na kufaidika na rasilimali za watanzania.
Ningumu sana kukubali kuwa nayeye alichoma hiyo chanjo baadae.Well technicaly hakutu protect against chanjo. Aliruhusu watumishi walichomwa, viongozi hata yeye mwenyewe baadae alikubali
Kennedy family lakini kinachowatokea si mchezoBabu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni.
Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere.
Mtoto mtu akawa Rais, na bado ana ushawishi.
Mke wake ni mbunge.
Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana.
Bado ana watoto wengine wanakua, wengine ni madaktari wengine marubani nk. Ridhwani angeweza kufanya kazi BOT au State Atorneys Office ila akaamua kuingia kwenye siasa ili atutawale.
Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja, Kikwete Family, Makamba Family, Nnauye Family, Kinana Family chini ya master mind Rostam Aziz bila kusahau familia ya mzee Mwinyi. Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers.
Bila Mzee Nnauye, Makamba angekuwa anauza mapeasi Lushoto, January Makamba angekuwa anaendesha Fuso.
Bila JK, Nape angekuwa anaendesha bodaboda.
Bila mzee Ruksa JK angekuwa analima mananasi Bagamoyo
Hii ni Family moja tusipoteze muda kushindana nayo bali tuishi nao kwa akili.
Kwani we hupendi asali
Basi tulia ulambe asali kimyakimya
These are crooks and not royal familiesBabu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni.
Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere.
Mtoto mtu akawa Rais, na bado ana ushawishi.
Mke wake ni mbunge.
Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana.
Bado ana watoto wengine wanakua, wengine ni madaktari wengine marubani nk. Ridhwani angeweza kufanya kazi BOT au State Atorneys Office ila akaamua kuingia kwenye siasa ili atutawale.
Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja, Kikwete Family, Makamba Family, Nnauye Family, Kinana Family chini ya master mind Rostam Aziz bila kusahau familia ya mzee Mwinyi. Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers.
Bila Mzee Nnauye, Makamba angekuwa anauza mapeasi Lushoto, January Makamba angekuwa anaendesha Fuso.
Bila JK, Nape angekuwa anaendesha bodaboda.
Bila mzee Ruksa JK angekuwa analima mananasi Bagamoyo
Hii ni Family moja tusipoteze muda kushindana nayo bali tuishi nao kwa akili.
Kwani we hupendi asali
Basi tulia ulambe asali kimyakimya
Never give wisdom to unworthy because it is Unjust To The Knowledgeable [emoji1787]These are crooks and not royal families
Tanzania sio nchi ya kifalme. Kidini.Tunajua mkono wake upo kwa Samia. Tukipata real democracy hatutawaliwa na familia moja na washikaji waoBabu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni.
Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere.
Mtoto mtu akawa Rais, na bado ana ushawishi.
Mke wake ni mbunge.
Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana.
Bado ana watoto wengine wanakua, wengine ni madaktari wengine marubani nk. Ridhwani angeweza kufanya kazi BOT au State Atorneys Office ila akaamua kuingia kwenye siasa ili atutawale.
Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja, Kikwete Family, Makamba Family, Nnauye Family, Kinana Family chini ya master mind Rostam Aziz bila kusahau familia ya mzee Mwinyi. Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers.
Bila Mzee Nnauye, Makamba angekuwa anauza mapeasi Lushoto, January Makamba angekuwa anaendesha Fuso.
Bila JK, Nape angekuwa anaendesha bodaboda.
Bila mzee Ruksa JK angekuwa analima mananasi Bagamoyo
Hii ni Family moja tusipoteze muda kushindana nayo bali tuishi nao kwa akili.
Kwani we hupendi asali
Basi tulia ulambe asali kimyakimya
Ukweli mchunguBabu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni.

Ningumu sana kukubali kuwa nayeye alichoma hiyo chanjo baadae.
Pia siwezi kataa uwenda wewe ndiye daktar uliye mchoma hiyo chanjo.
Kuhusu viongozi kuchoma ilikuwa lazima wacho kwasababu wao ni sehemu ya system walipaswa kupush hiyo ajenda ya chanjo.
I got noseHahaha i wish ningekuwa doctor but that not my passion. Sikuambii ili uamini, nakupa hard facts ,thats how things went down
I got nose
We all got nose
But mine detected some bullshit
That shit stink brother.
Your facts are softer than silk.
Hapa umebugi, mbali na kusoma/kusomesha lazima kuwe na supportive effort nyuma. Kibongobongo tunaishi kwa connections, wasomi wakubwa wa kawaida mpaka wanazeeka hawana nafasi za maana serikalini ndo hao wakifika uzeeni kisaikolojia wanajikuta wapinzani wa serikali sababu hakuna walichoambulia cha maana pamoja na elimu zao.Mkuu somesha watoto na wajukuu acha kulalama na kulia wivu, ndio suluhisho la kumkomboa mtu kutoka katika umaskini.
Kinachowatokea Kennedy family inasemekana ni njama za makusudi za kuhakikisha hakuna descendants wake anayeweza kuwa PROTUS kisha akajua nini kilimfika Kennedy Snr.Kennedy family lakini kinachowatokea si mchezo
......and this is how terrorists are made. Watu wakichoka uonevu pamoja na nepotism wanaanzisha magenge ya ugaidi pamoja na support kutoka nje ya nchi.Hapa umebugi, mbali na kusoma/kusomesha lazima kuwe na supportive effort nyuma. Kibongobongo tunaishi kwa connections, wasomi wakubwa wa kawaida mpaka wanazeeka hawana nafasi za maana serikalini ndo hao wakifika uzeeni kisaikolojia wanajikuta wapinzani wa serikali sababu hakuna walichoambulia cha maana pamoja na elimu zao.
Watakuja kukubishia ila huu ndio ukweli wenyewe ndugu yangu.Hapa umebugi, mbali na kusoma/kusomesha lazima kuwe na supportive effort nyuma. Kibongobongo tunaishi kwa connections, wasomi wakubwa wa kawaida mpaka wanazeeka hawana nafasi za maana serikalini ndo hao wakifika uzeeni kisaikolojia wanajikuta wapinzani wa serikali sababu hakuna walichoambulia cha maana pamoja na elimu zao.
Wasomi kutoka familia za kawaida ni wachache mno walitoboa nao hawanaga mwendelezo pamoja na kuwa ndani ya system.
Sent using Jamii Forums mobile app