mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #141
Yaani CCM sio chama bali ni dubwasha kubwa na la hatari kama ulivyosema ni mpaka Mungu aingilie kati ila sio kwa kupiga kura wanajua utamu wa mamlaka hawa watuMwanangu kweli we ni mdukizi haswaaa umenifumbua akili kwa kuongezea nyama kidogo ni hivi sio tu family hizo ongeza kuwa CCM yote nayo ni Jakaya family hata tuneng'eneke vipi kuitoa madarakani sisi watz ni kibarua kugumu hatutaweza labda Mungu aingilie kati maana wao ndo wnajua nchi ilivyo tamu na kwa kifahamu hilo wamejiwekea mtandao wao kote angalia hawa viongozi wakubwa wa kuteuliwa na rais kama vile wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa halmashauri na manispaa mpka majiji, makatibu wakuu na manaibu, hawa wote ukichunguza ni makada lialia na kindakindaki wa ccm kama sio mwanaccm hupati teuzi hizi
kwaiyo jmn tujiandae kisaikolojia kutawaliwa na hawa kijani milele mi hamna kitu kinanikatisha tamaa kama vyama vingine vya nchi jirani vingi vilivyo kuwa vinaongoza nchi zao kabla ya kupata uhuru wao mpka sasa vilishatolewa madarakani na wapinzani ila kwa ccm ni tofauti tena vinakuja na kujifunza mbinu ovu na chafu za kuendelea kubaki madarakani ama kuingia tena madarakani sasa we fikiria kama tu vyama vingine vya nchi zingine vina kuja kujifunza yaani kupata mbinu ya kutawala nchi zao unadhani ccm itakuwa lahisi kuing'oa madarakani!??
Ndio maana katiba mpya hamna mtu kati ya ccm mwenye shida nayo maana kwanza hawaitaki kwa kuwa inakuja kuwanyima baadhi ya fursa ma mamlaka kama rais kuounguziwa mamlaka hasa ya kuteua teua na kushutakiwa kwa makosa aliyayafanya akiwa madarakani yaani akiwa anatawala ama kuongoza nk.
Kama tutatulia tu hata miaka mingine 100 itaisha bila katiba mpya hata ikipatikana hawataifuata wataivunja tu kama hii iliyopo tena waliyotunga wao ccm wenyewe siku izi wanaivunja mfano wa mambo waliyowahi kuvunja katiba ni kukataza mkutano ya vyama vua siasa katiba inaruhusu hiyo mikutano ila wao walikataza ni nani alibisha wanamuelewa!?? Ikija mpya ndo kabisaa maana itawabana na kuwanyima uhuru walio uzoea.. Mazoea hujenga tabia na tabia ni kama ngozi huwezi ibadili kirahisi hivo.. Ngoja niishiw hapa nisijw kuwavuruga bure wakat hapo mlipo mumeshavurugwa na January [emoji848][emoji23][emoji23]