Ukweli mchungu kuhusu ajira kwa vijana wa kileo

Ukweli mchungu kuhusu ajira kwa vijana wa kileo

G-Funk

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2022
Posts
2,398
Reaction score
5,554
Wengi mna apply kazi bila mafanikio na mnaenda mpaka Dodoma mkitumia gharama kubwa ila matokeo huwa hamna.

Wengine wale mnaaomba ma NGO bila mafanikio hali ni tete sana.

Ukweli ni kwamba kazi zinanunuliwa sikuhizi😎 asikwambie mtu kama huna connection usipoteze muda wako hutapata kazi hata ukipata 100% kwenye oral na written.
 
Amini kwamba ndio uhalisia wa bongo
 
Cv ya bongo itakayokubeba popote pale ni konekisheni huna konekisheni karoge tu.

Dini za wazungu ni kupeana matumaini tu.

Wafia dini msinichukie huo ndio ukweli.

#MaendeleoHayanaChama
 
Miaka kadhaa iliyo pita nilienda pale N.S.S.F

Nili itaji huduma flan nilistaajabu kukuta mtu anauelewa mdogo (Finyu) mpk kujiuliza alipitaje pitaje interview.....

Asikwambie mtu bila Connection uta utasugua sana GAGA

Mjini hapa dar es salaam utakula maisha murua ni connection tuu....

Tafuta connection brother....hata na ma akili Yako ya darasan na mavyeti Yako kama nini......bila Connection wew ni nyang'au....

Alut continue kwa wote wapambanaji hakuna kukata tamaa...

Dedication: DARASA FT BEN PAUL- SIKATI TAMAA
 
Back
Top Bottom