Ukweli mchungu kuhusu kilichotokea tuzo za BET

Ukweli mchungu kuhusu kilichotokea tuzo za BET

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
270
Reaction score
450
Somo la leo UKWELI MCHUNGU KUHUSU BURNABOY .... ila wabongo hatupendi kuangalia FACTS kwenye mambo mengi. Mwaka jana BURNABOY alitoa album ya TWICE AS TALL na ilifanya vizuri sana na miongoni mwa wasanii na mfanyabiashara P.DIDY aliipa support kubwa sana maana anaujua uwezo wa BURNABOY.

Ukiachana na album wakati anaapishwa rais mpya wa marekani nyimbo ya BURNABOY inaitwa DESTINY ilichaguliwa miongoni mwa nyimbo 100 zitakazopigwa kwenye ule UAPISHO. Sasa kama wamarekani wanafika hatua ya kuitumia nyimbo ya BURNABOY kwenye hafla kubwa ya kitaifa kama ile na duniani kupo na wasanii wengi na nyimbo ni nying sana basi ujue BURNABOY yupo na kitu cha ziada.

Kwa hizi FACTS BURNABOY ndipo alipowazidi wasanii wengine. Na wenzetu hawaangalii MAKELELE na kiki bali wanaangalia FACTS. WANAIGERIA walikuwa kimya kwenye mitandao maana waliangalia UKWELI tuu wakajua hii TUZO ni yao kabisaaa. TATIZO ni hapa kwetu BONGO tunashindwa kusimamia UKWELI tunaanza KUPEANA SUPPORT za kinafiki dakika za MWISHO.

Wasanii wa bongo waache kuendekeza MAKELELE ya kila siku, wafanye mziki mzuri tuchukue hizi TUZO kubwa kama tulivyokuwa tunachukua tuzo zingine hapo zamani.

Wakina BURNABOY wanafanya mziki tuu hawana vurugu wala MAKELELE kama wasanii wa bongo na wanashinda TUZO kubwa kila siku. TUJIFUNZE kutokana na makosa....
 
Hizi tuzo ni kura.

Siyo jopo la wachache wanaoangalia umefanya nini.

Hata Diamond angekua na wapiga kura wengi isingekua tatizo kabisa.

Tatizo ni kwamba hata watoa support waligawanyika, na hili ni tatizo la miaka nenda rudi.
 
Somo la leo UKWELI MCHUNGU KUHUSU BURNABOY .... ila wabongo hatupendi kuangalia FACTS kwenye mambo mengi. Mwaka jana BURNABOY alitoa album ya TWICE AS TALL na ilifanya vizuri sana na miongoni mwa wasanii na mfanyabiashara P.DIDY aliipa support kubwa sana maana anaujua uwezo wa BURNABOY. Ukiachana na album wakati anaapishwa rais mpya wa marekani nyimbo ya BURNABOY inaitwa DESTINY ilichaguliwa miongoni mwa nyimbo 100 zitakazopigwa kwenye ule UAPISHO. Sasa kama wamarekani wanafika hatua ya kuitumia nyimbo ya BURNABOY kwenye hafla kubwa ya kitaifa kama ile na duniani kupo na wasanii wengi na nyimbo ni nying sana basi ujue BURNABOY yupo na kitu cha ziada. Kwa hizi FACTS BURNABOY ndipo alipowazidi wasanii wengine. Na wenzetu hawaangalii MAKELELE na kiki bali wanaangalia FACTS. WANAIGERIA walikuwa kimya kwenye mitandao maana waliangalia UKWELI tuu wakajua hii TUZO ni yao kabisaaa. TATIZO ni hapa kwetu BONGO tunashindwa kusimamia UKWELI tunaanza KUPEANA SUPPORT za kinafiki dakika za MWISHO. Wasanii wa bongo waache kuendekeza MAKELELE ya kila siku, wafanye mziki mzuri tuchukue hizi TUZO kubwa kama tulivyokuwa tunachukua tuzo zingine hapo zamani. Wakina BURNABOY wanafanya mziki tuu hawana vurugu wala MAKELELE kama wasanii wa bongo na wanashinda TUZO kubwa kila siku. TUJIFUNZE kutokana na makosa....
Fact bro..... Monday anaimba upumbavu mtupu sijui shule inamkwamisha??🚶🚶🚶
 
Ukiachana na album wakati anaapishwa rais mpya wa marekani nyimbo ya BURNABOY inaitwa DESTINY ilichaguliwa miongoni mwa nyimbo 100 zitakazopigwa kwenye ule UAPISHO. Sasa kama wamarekani wanafika hatua ya kuitumia nyimbo ya BURNABOY kwenye hafla kubwa ya kitaifa kama ile na duniani kupo na wasanii wengi na nyimbo ni nying sana basi ujue BURNABOY yupo na kitu cha ziada.
Umeandika vyema lakini umeskosea kwenye matumizi ya umoja na wingi ya neno "wimbo" ukiwa unakusudia kusema au kuandika umoja ni "wimbo" na sio "nyimbo" maana nyimbo ni wingi! vinginevyo asante kwa uzi huu!
 
Hizi tuzo ni kura.

Siyo jopo la wachache wanaoangalia umefanya nini.

Hata Diamond angekua na wapiga kura wengi isingekua tatizo kabisa.

Tatizo ni kwamba hata watoa support waligawanyika, na hili ni tatizo la miaka nenda rudi.
Hata hizo kura sio kila shabiki anapiga kura..kuna kundi maalum la wapiga kura, so hata kama Dai angepigiwa kura kama zote, kama angekosa kura za kutosha kutoka hilo kundi maalum basi hakuna kitu...
 
Hizi tuzo ni kura.

Siyo jopo la wachache wanaoangalia umefanya nini.

Hata Diamond angekua na wapiga kura wengi isingekua tatizo kabisa.

Tatizo ni kwamba hata watoa support waligawanyika, na hili ni tatizo la miaka nenda rudi.
Hizi tuzo sio za kura za watu...ni wajumbe wa BET wanao keti na kupiga kura
 
hivi amepewa na mkwanja shingapi kwanza ili tujue tumekosa vingapi.isijekuwa hela kama kill.
[emoji16][emoji16]
 
Inno Ole Kigoma Independent

1624889159218.png
 
Back
Top Bottom