Ukweli mchungu kuhusu kilichotokea tuzo za BET

Ukweli mchungu kuhusu kilichotokea tuzo za BET

Twice as tall


Ivi kuna msanii aliefanya albamu kali kuizidi hii maana huko kwenye tuzo ni mbali sana tumeenda...
 
Kama kweli haya mambo yapo basi jamaa ni Masonic. Haiwezekani nyimbo zake zikipigwa tu mabinti na slay Queens wapige mayowe hadi wanamwaga vinywaji hata kama hawajui ujumbe uliomo kwenye wimbo[emoji3]. Ukicheki jamaa si HB kama watakiwavyo walamba lips, sauti yake ya ajabu ajabu kama mzimu hivi![emoji3], anaimba tu kama hataki!
 
Back
Top Bottom