Ukweli mchungu kuhusu kilichotokea tuzo za BET

Somo la leo UKWELI MCHUNGU KUHUSU BURNABOY .... ila wabongo hatupendi kuangalia FACTS kwenye mambo mengi. Mwaka jana BURNABOY alitoa album ya TWICE AS TALL na ilifanya vizuri sana na miongoni mwa wasanii na mfanyabiashara P.DIDY aliipa support kubwa sana maana anaujua uwezo wa BURNABOY.

Ukiachana na album wakati anaapishwa rais mpya wa marekani nyimbo ya BURNABOY inaitwa DESTINY ilichaguliwa miongoni mwa nyimbo 100 zitakazopigwa kwenye ule UAPISHO. Sasa kama wamarekani wanafika hatua ya kuitumia nyimbo ya BURNABOY kwenye hafla kubwa ya kitaifa kama ile na duniani kupo na wasanii wengi na nyimbo ni nying sana basi ujue BURNABOY yupo na kitu cha ziada.

Kwa hizi FACTS BURNABOY ndipo alipowazidi wasanii wengine. Na wenzetu hawaangalii MAKELELE na kiki bali wanaangalia FACTS. WANAIGERIA walikuwa kimya kwenye mitandao maana waliangalia UKWELI tuu wakajua hii TUZO ni yao kabisaaa. TATIZO ni hapa kwetu BONGO tunashindwa kusimamia UKWELI tunaanza KUPEANA SUPPORT za kinafiki dakika za MWISHO.

Wasanii wa bongo waache kuendekeza MAKELELE ya kila siku, wafanye mziki mzuri tuchukue hizi TUZO kubwa kama tulivyokuwa tunachukua tuzo zingine hapo zamani.

Wakina BURNABOY wanafanya mziki tuu hawana vurugu wala MAKELELE kama wasanii wa bongo na wanashinda TUZO kubwa kila siku. TUJIFUNZE kutokana na makosa....
diamond kwa mwaka jana alifanya poa mpaka kufikia kuwa nominated ni kazi nzuri aluzifanya
 
Facts sema tu watanzania wana akili mgando sana na hawajuwi vitu...Kibongo bongo Diamond anaonekana ni msanii mkubwa lakini kimataifa hana issue yeyote, huwezi mgombanisha Diamond na wasanii wakubwa hapa Afrika.
Mimi mpaka leo naamini huyu jamaa anafahamika afrika mashariki tu hapa na hii ipo toka zamani kwa wasanii wetu akina profesa jay
 
Somo la leo UKWELI MCHUNGU KUHUSU BURNABOY .... ila wabongo hatupendi kuangalia FACTS kwenye mambo mengi. Mwaka jana BURNABOY alitoa album ya TWICE AS TALL na ilifanya vizuri sana na miongoni mwa wasanii na mfanyabiashara P.DIDY aliipa support kubwa sana maana anaujua uwezo wa BURNABOY.

Ukiachana na album wakati anaapishwa rais mpya wa marekani nyimbo ya BURNABOY inaitwa DESTINY ilichaguliwa miongoni mwa nyimbo 100 zitakazopigwa kwenye ule UAPISHO. Sasa kama wamarekani wanafika hatua ya kuitumia nyimbo ya BURNABOY kwenye hafla kubwa ya kitaifa kama ile na duniani kupo na wasanii wengi na nyimbo ni nying sana basi ujue BURNABOY yupo na kitu cha ziada.

Kwa hizi FACTS BURNABOY ndipo alipowazidi wasanii wengine. Na wenzetu hawaangalii MAKELELE na kiki bali wanaangalia FACTS. WANAIGERIA walikuwa kimya kwenye mitandao maana waliangalia UKWELI tuu wakajua hii TUZO ni yao kabisaaa. TATIZO ni hapa kwetu BONGO tunashindwa kusimamia UKWELI tunaanza KUPEANA SUPPORT za kinafiki dakika za MWISHO.

Wasanii wa bongo waache kuendekeza MAKELELE ya kila siku, wafanye mziki mzuri tuchukue hizi TUZO kubwa kama tulivyokuwa tunachukua tuzo zingine hapo zamani.

Wakina BURNABOY wanafanya mziki tuu hawana vurugu wala MAKELELE kama wasanii wa bongo na wanashinda TUZO kubwa kila siku. TUJIFUNZE kutokana na makosa....
Hii article yako imeshiba sana mwamba[emoji120][emoji120]
 
Ni kweli kabisa... Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom