Ukweli mchungu kuhusu kilichotokea tuzo za BET

Twice as tall
 
Jamaa alidhani kua kule ni bongo akivaa haya mashuka atakua talk the show, wap bwana wakampotezea akabaki kama yatima na meneja wake mganga wa jadi
Jinsi unavyoelezea inaonekana ulikuwepo na wewe.
 
Facts sema tu watanzania wana akili mgando sana na hawajuwi vitu...Kibongo bongo Diamond anaonekana ni msanii mkubwa lakini kimataifa hana issue yeyote, huwezi mgombanisha Diamond na wasanii wakubwa hapa Afrika.
 
Umesahau na hii mzee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…