Ukweli mchungu kuhusu kilichotokea tuzo za BET

diamond kwa mwaka jana alifanya poa mpaka kufikia kuwa nominated ni kazi nzuri aluzifanya
 
Facts sema tu watanzania wana akili mgando sana na hawajuwi vitu...Kibongo bongo Diamond anaonekana ni msanii mkubwa lakini kimataifa hana issue yeyote, huwezi mgombanisha Diamond na wasanii wakubwa hapa Afrika.
Mimi mpaka leo naamini huyu jamaa anafahamika afrika mashariki tu hapa na hii ipo toka zamani kwa wasanii wetu akina profesa jay
 
Hii article yako imeshiba sana mwamba[emoji120][emoji120]
 
Ni kweli kabisa... Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…