mahogany
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 252
- 23
Akili yako haina tofauti na mgonjwa wa kigwangala,ukiona mtu amekomalia hoja ya kutungwa lazima upate wasiwasi na upeo wake.
we msukule kuna hoja ya kutungwa hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili yako haina tofauti na mgonjwa wa kigwangala,ukiona mtu amekomalia hoja ya kutungwa lazima upate wasiwasi na upeo wake.
Watanzania wana akili nyepesi sana!
Binafsi naamini ni tatizo la upungufu wa mlo kamili ndio chanzo cha upeo mdogo wa watanzania wengi, mfano ni mleta mada.
Kwa akili ya kawaida kabisa, utagundua huyo mnafiki Msigwa kushadadia suala la Kinana kuwa ana husika na ujangili ni kutaka umaarufu wa bei rahisi.
Wenzake wakina Zitto na makamanda wengine walikuwa wakiibua masuala ya siri mno ya kulihujumu taifa yanayo fanywa na watendaji wasio waadilifu. Ndio maana mchango wa Zitto katika kukomboa raslimali za nchi hauwezi kubezwa na yeyote yule.
Hili suala la Kinana ni la tangu 2008 huko, na INTERPOL walichunguza wakabaini kuwa Kinana ahusiki, sasa kelele za Msigwa za nini hapa? Kwenye ili Msigwa asahau kuwa atatambulika miongoni mwa wabunge machachali kwenye medani za siasa hapa nchini.
Inabidi watanzania mshtuke nia ya huyu Msigwa kupeleka hotuba iliyojaa masimango, kashfa na uongo wa kupitiliza pale bungeni, nia kubwa ya Msigwa ni kumchafua Katibu Mkuu wa CCM taifa, wala hakuwa na maslahi mengine zaidi ya ili.
Ila kama ilivyo ada, njia ya muongo ni fupi, watanzania wazalendo na wafatiliaji wameujua ukweli, na malengo ya Msigwa hayajatimia katika juhudi zake za kumchafua Kinana.
pale serikali? Kabila gani wewe?HUo uzushi utawafikisha wapi CDM? hata kama kungekuwa na ukweli, binafsi naona bora ujangili kuliko UGAIDi
nimesikia leo wewe utalipwa buku saba na mia tanoHAMUEZI KUMUOKOA LWAKATARE kwa utumbo kama huu, na kamwe hamuezi kutusahaulisha ukatili wa LWAKATARE.
weka mbali na temboHAMUEZI KUMUOKOA LWAKATARE kwa utumbo kama huu, na kamwe hamuezi kutusahaulisha ukatili wa LWAKATARE.
ni kweli kabisa tukimpuuza tutavuna mabua,atamaliza tembo woteKinana ni mwanajeshi amelitumikia jeshi kwa kipindi kirefu kwa cheo cha kanali...si mtu wa kupuuzwa
kumbe unamjua vizuri,ni mchapakazi mzuri sana zaidi anapokuwa maeneo ya mbugakinana ni mtu makini sana kiutendaji..
Kwa hiyo mtu akilitumikia jeshi kwa kipindi kirefu kwa cheo cha kanali basi huyo mtu si wa kupuuzwa?, hivi nyie watu wanawatoa wapi? maana hamuwezi kabisa kujenga hoja, Binafsi ninachokihofia kwa huyo kinana ni tembo wetu tu, na wala si kingine, kasi ya jamaa kwenye ujangili inatisha, fikiria meli nzima imejaza meno ya tembo, ni tembo wangapi wameuawa?, ni meli ngapi zimepita bila kugundulika?, huyu jamaa ni hatari, hatareee!, weka mbali na tembo.Kinana ni mwanajeshi amelitumikia jeshi kwa kipindi kirefu kwa cheo cha kanali...si mtu wa kupuuzwa
Mkuu umenikumbusha kuna thread moja ya picha ya tembo akijaribu kumdhuru jamaa kwenye gari, mwana JF mmoja Baba V, akachangia namna ya kujinasua pale ni kuchukua simu, kisha unazuga kama unampigia kinana, eti tembo lazima atatimua mbio, nilicheka sana.Tembo wanajuta kuzaliwa TZ ya kinana.
kweli mkuu.ila tushukuru CHADEMA wapo.mengi tunayajua sasa.hivi tembo na kinana wana mahusiano?kinana ni mtu makini sana kiutendaji..
hAMNA HAYA magaidi nyie ambao Ulimboka na Kibanda hatawasahau milele na roho ya Mwangosi inawalilia, je roho ya Prof Mwaikusa na Kolimba ama kweli CCM ni Chama Cha MAGAIDDI YALIYOKWISHA THIBITISHWA
ficha aibu zenu, kaangalie vizuri ile video ya gaidi mkuu lwakatare ndio urudi hapa
Kama katika biashara zake, he is really hard working...Kinana is simple by looking, but firm and hard working in serious issues