Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Sasa umejiandaa na mabegi ya ngozi, na vifaa vya kuchimba kisima, halafu unakuta kila unapoenda hakuna maji.Huko siyo kujiandaa.
Kujiandaa jangwani ni kuchimba kisima baada ya kutembea na kukuta oasis.
Au kuchota maji kwenye mabegi ya ngozi na kuyatumia kwa uangalifu.
Expecting rain in desert shows how unprepared someone is in tackling his/her problems.
Hapo kujiandaa kwako kunakuleteaje bahati?
Halafu anakuja mchizi kapoteapotea tu jangwani hana hata kikombe, anakutana na bonge la oasis.
Huyo kajiandaa nini mpaka kupata bahati hiyo?