Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Unathibitisha vipi kwamba Divine power ipo na si makisio yako tu?Swali zuri, hapo nime relate kama jisi usivoweza kuelezea bahati ndo huwezi kuelezea complexity ya Divine Power kwa maswali yenu kua Mungu huyo yuko wapi nionyeshe.
Kabla ya kuanza kuelezea complexity ya Divine power, kwanza lazima ueleze na uthibitishe ipo.
Otherwise hii complexity ni speculation tu.
Divine power hiyo haipo kwenye uhalisia.
Bahati ni nafasi ambayo huweza kutokea wakati wowote tu pasipo wewe kutarajia.Ndo na me nasema nioneshe bahati iko wapi na nifanyie calculation ya bahati ntakazopata hadi nakufa now nijijue kabisa.