Ukweli Mchungu kuhusu Kudanga

Swali zuri, hapo nime relate kama jisi usivoweza kuelezea bahati ndo huwezi kuelezea complexity ya Divine Power kwa maswali yenu kua Mungu huyo yuko wapi nionyeshe.
Unathibitisha vipi kwamba Divine power ipo na si makisio yako tu?

Kabla ya kuanza kuelezea complexity ya Divine power, kwanza lazima ueleze na uthibitishe ipo.

Otherwise hii complexity ni speculation tu.

Divine power hiyo haipo kwenye uhalisia.
Ndo na me nasema nioneshe bahati iko wapi na nifanyie calculation ya bahati ntakazopata hadi nakufa now nijijue kabisa.
Bahati ni nafasi ambayo huweza kutokea wakati wowote tu pasipo wewe kutarajia.
 
So, life has no random event at all?
 
Hizo habari za divine power ni imani za watu zisizoweza kuthibitishika.

Kwa sababu hazipo kiuhalisia, ni hadithi za kulazimisha tu.
 
Kwa hiyo mtu ambaye hajafanya preparation yoyote, kakuta opportunity tu imemtembelea, hiyo ni luck au si luck?
Kuna opportunity sasa hivi ya wewe kuwa Mbunge South Africa. Ipo right now, you just think it's not possible because you are not prepared for it.
Hata pisi kali inaweza kukwambia twenzetu sasa hivi, but kama hauko prepared for it you can't seize it.
 
Hujajibu swali ambalo nimeuliza, halafu swali ulilolijibu sijaliuliza.

Nimeuliza hivii.

Kwa hiyo mtu ambaye hajafanya preparation yoyote, kakuta opportunity tu imemtembelea, hiyo ni luck au si luck?
 
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
Wiki hii mmetuandama sana.

Tuoeni tupunguze kudanga...tutadanga ki-staff!!
 
Hujajibu swali ambalo nimeuliza, halafu swali ulilolijibu sijaliuliza.

Nimeuliza hivii.

Kwa hiyo mtu ambaye hajafanya preparation yoyote, kakuta opportunity tu imemtembelea, hiyo ni luck au si luck?
Ni luck ndio sio probability kama ulivotupa mfano wako hafifu wa coin.

Yani kama unakuja huku kwangu alafu unanikataa vibaya vibaya! Bro keep digging, keep researching the answer is out there waiting for u.. mimi sio muhubiri na sina elimu kuuubwa ya dini but i can easily spot contradictions ndani yako. Thanks for the inputs

Dig.
 
Ka'mkubwq Kiranga, suala la bahati unalizungumziaje?

Ni la kiimani au kifalsafa.
 
Hujajibu swali ambalo nimeuliza, halafu swali ulilolijibu sijaliuliza.

Nimeuliza hivii.

Kwa hiyo mtu ambaye hajafanya preparation yoyote, kakuta opportunity tu imemtembelea, hiyo ni luck au si luck?
Usichukulie preparedness kama ni kitu ambacho mtu anafanya. Unaweza kufanyiwa na watu pia. Kwa mfano, mtu mrefu is more prepared kuliko mbilikimo kushinda 1v1 basketball match ceteris paribus. He is just more "prepared" not necessarily as a function of his/her effort.
Anayetangatanga probably has two hands or even a hand that can harvest that water, not necessarily the bags or some extra skills.
 
How do you interpret Kiyosaki, is he a Scam?
 
Unaelewa kuwa, kama kweli kuna contradiction ndani yangu, hilo nalo ni uthibitisho kwamba hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?
 
Ukiwa prepared bila kufanya lolote, hiyo si bahati tayari?
 
Even the virtual particles that appear out of the energy of a vacuum and are quickly annihilated back into the vacuum in quantum physics are not doing so randomly?

If yoir answer is yes, how do you know so?
My answer is YES.
I know so, because randomity is just an idea, it doesn't exist.
Annihilation itself is a particle antiparticle process, how can it be random and at the same time be annihilated?
 
Ukiwa prepared bila kufanya lolote, hiyo si bahati tayari?
Hapana, until the opportunity arises.
Its like being Handsome and sexy at the Rio Carnival vs. Rikers.
Trust me, opportunities will present themselves, but will you be prepared "prepared"?
 
How do you interpret Kiyosaki, is he a Scam?
I do not like absolutes za "is he a scam or not".

I am not a fan of "all or nothing at all" constructs.

There are always nuances, some kind of spectrum, context.

So, depending on all of that, Kiyosaki may be very right for you. Or very wrong for you.

Kwa mfano, kwa ntu ambaye anaamini katika bahatibahati tu, kuvuta nyota, uchawi, kumuomba Mungu, Kiyosaki anaweza kuwa na the right message ya kumfanya atoke huko na kujipa agency zaidi, kujitegemea zaidi, kujiongeza zaidi.

Lakini pia, kwa watu wengine ambao tumeishi sehemu nyingi na kuona watu wengi waliofanya kila kitu alichoshauri Kiyosaki halafu wakaja kuangushwa na matatizo systemic katika jamii, tunaweza pia kuona Kiyosaki anavyo oversell mafundisho yake.

Ndipo hapo habari za kumwambia mtu "don't save your money, invest it" wakati mtu hata hela za savings hana, anaishi kwenye madeni yanayozidi kila siku, inakuwa kama ile hadithi ya Marie Antoinette anavyoripotiwa kuambiwa watu wako wa Ufaransa wana njaa sana, hawana hata mkate, akasema hawana mkate, waambie wale keki.

Yani kikwetu mtu anakwambia hana hata ugali halafu unamwambia kama hana ugali basi ale biriani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…