Ukweli mchungu kuhusu Lulu: Kanumba anaonewa

Self defense ni kuua bila kukusudia.
 
Ni fact kwa kua hayajakukuta, usingeandika huu uzi hapa
Kwa hiyo mama yake Kanumba aseme nini? Yeye aliyefiwa na mwanae hayaja mkuta?

Hizi team mavi zenu zinawafanya msitumie akili kufikiri

Weka mihemuko yako pembeni tumia japo 0.00002 ya huo ubongo wako


Kinachotafutwa hapa ni justice period sio wivu wala upuuzi gani sijui

Akimaliza hili la mauaji aende akafungue shitaka la kubakwa na marehemu

Kama mahakama itamuachia huru then be it
Ila sio wote tufanyane wapumbavu humu
 
Yule chick namuonea huruma but all in all aombe mungu siku hyo Nov rumanyika aamkie upande wake maana hali tete
 
Lulu ni wa 1996,kwli mm nakumbuka mwka huo tulikuw tukiishi na mama yake mbagara rangi tatu,nakubar mama yake alikuwa anajiuza mpk vibandani henzi hizo lulu aliitwa shikana!
Na mimba ilivyoingia uliona au ulikuwepo.
Ukipandishwa mahakamani vipi?
 
Kumbe ni KAHENGA haka...kanajifanya katoto
2012 wakati kesi inaanza mawakili wa serikali walikakomalia kuhusu kipindi cha mikasi na take one ya zamaradi vilivyofanyika two weeks kabla ya kufa kanumba,kalisema kabisa IAM 18 waliuliza pia kuhusu driving licence na passport ambazo alikuwa nazo tayari mwaka huo wa 2012 cha kushangaza safari hii mahakamani wanauliza maswali ya kibweeegeeeeee,kinachotuuma sisi wengine ni dharau walizomfanyia mama kanumba na jinsi team yake wanvohangaika mtandanoni kuonyesha kanumba eti alikuwa anambaka,sasa ni tit for tat kuabishana tu tena na hizo clips za kipindi cha mikasi na take one alivyosema IAM 18 nitazipandisha soon
 
Nitukanie huyo kidomodomo kazidi sana.
Watu wanazungumza fact, yeye anaongea ki-shilawadu!
 
Watu kudanganya miaka kawaida, hasa kwa jinsi kalivyokuwa mapepe na kanataka kaendeshe gari na kaingie club lazima kadanganye.
Giggy money mwenyewe alikuwa anaongopa miaka yake kumbe alikuwa under 18.
Hizo dharau kaziwakumbusheni mange alipoandika wosia na nyie mori ndo ukaamka???
 
Aisee! kumbe kamekubuhu kwenye haya mambo!!

Kama nawaona vile manyapara wa ukonga wanavyoimezea mate tarehe 13novemba
Natamani ningekuwa Nyapara wa ukonga japo kwa siku moja tu nipewe jukumu la kumwingiza huyu changu sero!! Ameua filamu zetu! Ametuondolea gwiji akatuachia matakataka! [HASHTAG]#RohoMbaya[/HASHTAG]
 
Natamani ningekuwa Nyapara wa ukonga japo kwa siku moja tu nipewe jukumu la kumwingiza huyu changu sero!! Ameua filamu zetu! Ametuondolea gwiji akatuachia matakataka! [HASHTAG]#RohoMbaya[/HASHTAG]
Mkuu fungwa!
Lakini bahati mbaya "me" hawezi kuwa nyampara wa "kei".
 
Kanumba wenyewe bora alivyojiua tu. Angewabemenda watoto wa primary bure
 
bwana ee nirudie mara ngapi kwamba kazaliwa 1994,deal ilichezwa kurudisha miaka nyuma,namtetea marehemu mnayemuita paedophile
Wewe ndie ulienda leba?? maana wazazi wake wanasema walimzaa mwaka 1996 wewe unasema 94.... hebu sema kama wewe ndio mama ake Lulu halisi.
 
Mnamkandia Lulu mnasahau kua marehemu alikua anampiga na ubapa wa panga wakiwa chumbani huku kafunga mlango, Jacky Daniel kichwani ulidhani itakuaje..... acheni mahakama ifanye kazi yake sio kumchafua na kutafuta vikwazo.
 
Hamna binadamu aliye msafi eti dharau una roho ya kijinga kweli na umaskini Mungu angetuhesabia makosa Nani angesimama?
 
Mnamkandia Lulu mnasahau kua marehemu alikua anampiga na ubapa wa panga wakiwa chumbani huku kafunga mlango, Jacky Daniel kichwani ulidhani itakuaje..... acheni mahakama ifanye kazi yake sio kumchafua na kutafuta vikwazo.
Maamuzi ya mahakama yatakuacha uchi! Huyu alishakuwa mchafu way back! Hujaona picha ya mdau hapo juu kakiwa kamevaa kitambaa cha kujifutia jasho kiunoni bila hata chupi? Unakaogesha kwa matope!
 
Afungwe tu hakuna namna
Si ajabu angekuwepo kanumba hii tasnia ingekuwa mbali aisee
 
Maamuzi ya mahakama yatakuacha uchi! Huyu alishakuwa mchafu way back! Hujaona picha ya mdau hapo juu kakiwa kamevaa kitambaa cha kujifutia jasho kiunoni bila hata chupi? Unakaogesha kwa matope!
Kwani ishu ni mambo yake ya zamani au ishu ni kesi inayomkabili.... Haya mambo tuyaachie mahakama waamue kuanza kumchimba chimba ya zamani ni wazi mnaona hana kesi.
 
Aahhhaaa we mleta mada kapten kaimba nyimbo ya kutusimangaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…