jamaa aligonga kisogo chumbani,maelezo ya lulu kuhusu ugomvi yako sahihi ila hata kama alimsukuma in self defense hawezi sema na ukweli jamaa alikuwa kalewa hata wanaomjua wanajua alikuwa ni kichwa panzi analewa haraka sana...huu uzi sishabikii lulu afungwe ila namlaumu sana yeye na mama yake walivyomgeuka mama kanumba na kum humilliate kwenye mitandao leo wangekuwa close ingesaidia sana,kwanza wale wamama wote wahaya wangeenda huko bukoba kuchinja hata sadaka kutoa nuksi..sasa baada ya kumtumia ili kutuliza munkari wa raia na lengo lilifanikiwa thats why unaona ni kama jamii ilimsamehe
Kuhusu sual la lawyer hapo ni utata mwingine,kibatala ni lawyer mzuri ila mazingira ya siasa za nchi hii kwa sasa sio rafiki kwa chadema usishangae akapunguzwa heshima yake kwenye kesi hii kwa makusudi au umesahau manji alivyomkataaa?sio kwamba hajui ila duuuuuuuu